Taarifa: Mama Samia Azungumza kwa Njia ya Mtandao Na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na Ukimwi

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
1,166
2,000
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Ijumaa Agosti 06, ,2021 amezungumza kwa njia ya mtandao na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Kimataifa la Kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria ( Global Fund) Bwana Peter Alexander Sands

Kazi iendelee

FB_IMG_16282721336827058.jpg
 
massaiboi

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
1,287
2,000
Mbona RVs hamuilalamikii kama chanjo ya Covid na zote ni watoto wa Baba mmoja????
 
lwiva

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
6,094
2,000
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Ijumaa Agosti 06, ,2021 amezungumza kwa njia ya mtandao na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Kimataifa la Kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria ( Global Fund) Bwana Peter Alexander Sands

Kazi iendelee

View attachment 1883219
Hapo lazima Boya anaulizia kama kunachanjo ya ukimwi ili alazimishe iletwe tanzania
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
88,082
2,000
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Ijumaa Agosti 06, ,2021 amezungumza kwa njia ya mtandao na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Kimataifa la Kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria ( Global Fund) Bwana Peter Alexander Sands

Kazi iendelee

View attachment 1883219
Huyu mama hana mvuto hata kidogo ! amechuja utadhani vitenge vya mawingu vya miaka ya 80
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom