Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

Mmeishia wapi na hizi mbanga zenu mpaka Sasa?
Maslahi yenu kisiasa sio maslahi ya taifa kamwe wapuuzi wahed nyie
Baada ya kukiuka yaani kutoandika katiba hapo 2022,huoni watu wakubwa wakidondoka consecutively!!?na wengine tetesi za kuugua!!?

Na aliepewa maelekezo huoni atashindwa kugombea coz hatogombea japo anajitahidi kuji promote lakini hatogombea!!?

Nadhani Ile shughuli iliisha Anza na matokeo ndio hayo!we huoni!!?
 
Mbona kasha jiandaa vema na form ni moja.Hii vita bado mbichi sana ngoja 2025 tuone.
 
Mbona kasha jiandaa vema na form ni moja.Hii vita bado mbichi sana ngoja 2025 tuone.
Tatizo sio fomu,Tatizo ni misuko suko atakayoipata kabla ya kupewa fomu!!

Kuna kelele nyingi sana zinaendelea humu kwenye kampuni,we huoni Kuna tetesi za kutaka kuzima internet!!?
Kabla ya October 2025 sarakasi bado nyingi!!hao wanaomdanganya fomu ni Moja ndio wanaomharibia kabisa!!
Ni Bora angesema mchakato wa fomu ziwe nyingi halafu afanye lobbying Kwa watakaochukua fomu kipindi hicho!!

Yaani fomu ikiwa moja mwaka mmoja kabla maana yake wanamchosha kwa kupambana na adui asie onekana!!!

Hao jamaa wanaomdanganya hao ndio initiator wa mvurugano ndani ya kijani!!
 
Siamini kama ni hivi. HILI NALO MKALITAZAME!!

Hao wanaojiitaga DEEP STATE naamini wameshapanga na kuamua nani awe Rais wa Tanganyika 2025 and beyond.

Hawa DEEP STATE huwa hawachezi au kuchezesha kamari. They act with CERTAINTY.

Kabla mpira haujaanza wao wameshafunga magoli na kujua nani ni mshindi.

Watu wanaocheza au kuchezeshwa kamari za kisiasa ni wale manyumbu wafuasi wafuata upepo a.k.a MAKADA / CADRE 😂

I am of a settled knowledge that the DEEP STATE play their games with absolute CERTAINTY and precise MATHEMATICS.

Huku chini MAKADA ndio wanararuana.
 
Nimekuja haraka kwenye Uzi nikajua tayari operation imepewa go-ahead maana 2025 is loading.......
 
Imeamuliwa 'next stage' isitishwe. Baadhi ya maombi ya unyenyekevu ya 'theState':

1. Sheria zifuatwe na zile zisizofaa zibadilishwe.
2. Mwakani kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge liundwe na lisilazimike kuingiza wabunge waliopo sasa isipokuwa wale wenye tija.
3. Wabunge wasiokuwa halali waondolewe kutoka bungeni.
4. Ikiwezekana yale majimbo na kata ambayo ilionekana kabisa kulikuwa na upotoshaji wa matokeo basi uchaguzi urudiwe. Uchaguzi wa serikali za mitaa usubirie mpaka katiba mpya.
5. Stahiki za wafanyakazi wa umma na wastaafu zilipwe. Fao la kujitoa lirejeshwe kwa wale waliopoteza ajira.
6. Fungua milango ya nchi ili biashara na mitaji ikaribie na ku-unlock uchumi. Wawekezaji wakaribishwe kwa sera na sheria wezeshi.
7. Wananchi kule kimara walipwe fidia na kwingineko ambapo watu waliumizwa.
8. Ofisi ya DPP na mwanasheria mkuu ifumuliwe na watu watendewe haki.
9. Watendaji wote 'walio-dance the tune' na kuvunja sheria huku wakiumiza watu waondolewe.
10. Miradi ya SGR na Stiegler's iendelezwe pamoja na ile ya barabara lakini upembuzi ufanyike ili ikiwepo isiyo na tija iachwe.
11. Kuna tatizo kubwa sana deni la taifa.. angalau punguza sasa kukopa na weka mazingira ili uvutie wawekezaji na hasa wale wa ndani ambao wameficha matrilioni ardhini na nje ya nchi.
12. Uchunguzi huru ufanyike kwa yale matukio yote ya utekaji, mauaji na mashambulizi dhidi ya binadamu.
13. Ondoa elimu bure kwasababu inajenga taifa lenye 'irresponsible' minds. Angalia namna ya kubadilisha mfumo wa elimu ili uendane na nyakati tulizonazo.
14. Fanya maridhiano na wapinzani na taasisi zilizotengwa ili kuleta umoja wa kitaifa.
15. Serikali iendelee kubaki Dodoma na ikiwezekana ikulu ya Dar es salaam pajengwe kituo maalum cha utalii.
16. Chama bado kina misingi mizuri, imarisha kwa kuteua watu wenye maono na uzalendo kwa nchi.
17. Sisi hatutakuja kukuingilia, teua na unda timu kwa kadri unavyoona inafaa.. watendee watu haki nasi tutaendelea kukuunga mkono.

18. Mpaka sasa umetuonesha mwanga mwema nasi kwakuwa tunaipenda nchi tumesitisha 'mipango' yetu ili utimize majukumu yako na kusimamia haki.

Tulishauri, hakusikiliza na sasa hayupo. Nimepewa ujumbe, nimeufikisha.
Je mangapi kati ya haya uliyoyaandika hapa yamefanyiwa kazi?
 
Back
Top Bottom