TAARIFA:.........M/KITI WA CC naomba List ya MAJINA YA WADADA WALIO SINGLE.......

Hbar zenu wana jamvi.......
....
....
...........baada ya kimya kirefu nimepata tetesi kuwa kuna wadada wengi humu wako sing;le na wamejiandikisha kwa erickb52 mwenyekiti mpinduaji.

Nikuombe majina hayo kwenye makundi tofauti...

kundi la kwanza;Majina ya wadada wajane
kundi la pili;Majina ya wadada walio pewa talaka
kundi la tatu;Majina ya wadada waliosingle kabisa yaani bado wabichi ha ah ah aha ,,,,,,.......

msimu huu wa sikuuu lazima nipate wa kula nae bata na kuku....

ni matumaini yangu ombi langu litapewa uzito.

Lack of sham
 

hahahaaa!!huyo kokushubirwa lazima
nimzibe kikojoleo,hajui mume wa mtu sumu?
ila kwa kua nipo na ww wani peti2 sina shida kabisa!!

umeona eenh...........ni sumu tena pollonium! sasa kabla sijapanga safari ya kurudi embu jiengue mwenyewe kwa babe wangu!
 
Back
Top Bottom