🤣🤣🤣🤣Anarejea alikuwa wapi?.
Sasa unawaringishia waliokuwa nae awali na bado wamekuwepo?...dunia haiishi vituko hii.
🤣🤣🤣🤣Anarejea alikuwa wapi?.
Sasa unawaringishia waliokuwa nae awali na bado wamekuwepo?...dunia haiishi vituko hii.
Bado Harmonize kurudi kwenye Chama Kubwa WCB!Baada ya Kimya cha Muda mrefu, hatimaye Mkali wa Muziki wa Bongo Fleva richmavoko amerudi na taarifa Kubwa na nzuri kwa mashabiki Zake, baada ya kutangaza kuachia #MiniTape yake Tar 7 mwezi huu
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Bilionea Kid richmavoko ameshare taarifa Hiyo Njema kwa mashabiki na Wapenzi wa muziki ambao walikua wamemiss Radha yake kwa muda mrefu, Kuwa muda si mrefu wategemee balaa kubwa kutoka kwake.
Katika Ujumbe huo , Mavoko ameandika “Marafiki zangu mmekua mkinipa ushirikiano na mpaka sasa Najua mnaendelea kufanya ivyo, Mziki ni kitu ninachokipenda na ninaishi nao “
Msie Mpenda kaja
View attachment 1527540
kitalam inaitwa KATA NKUTWIKEHaka kajamaa bhana..
Kanajiita hater wa wcb ila bado source ya habari yake ni huko huko wasafi?
Hii kitaalam inaitwaje??
Hakuna ajualoBaada ya Kimya cha Muda mrefu, hatimaye Mkali wa Muziki wa Bongo Fleva richmavoko amerudi na taarifa Kubwa na nzuri kwa mashabiki Zake, baada ya kutangaza kuachia #MiniTape yake Tar 7 mwezi huu
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Bilionea Kid richmavoko ameshare taarifa Hiyo Njema kwa mashabiki na Wapenzi wa muziki ambao walikua wamemiss Radha yake kwa muda mrefu, Kuwa muda si mrefu wategemee balaa kubwa kutoka kwake.
Katika Ujumbe huo , Mavoko ameandika “Marafiki zangu mmekua mkinipa ushirikiano na mpaka sasa Najua mnaendelea kufanya ivyo, Mziki ni kitu ninachokipenda na ninaishi nao “
Msie Mpenda kaja
View attachment 1527540
Kujifukiza nje ya shukaHaka kajamaa bhana..
Kanajiita hater wa wcb ila bado source ya habari yake ni huko huko wasafi?
Hii kitaalam inaitwaje??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtu hata hela ya studio hana mpaka amekaa kimya lakini leo hii anaitwa Bilionea kid! Bongo nyoso!!