Taarifa kwa wana-Vwawa, WanaCHADEMA na wapenda haki wote

Mhere Mwita

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
235
1,275
Hukumu Ya Kesi Ya Uchochezi Iliyokuwa Inamkabili Mdude Nyagali Pamoja Na Wenzake Imetolewa Leo Tarehe 18/04/2017. Mahakama Imemkuta Mdude Kuwa Hana HATIA Hivyo Mdude Ameshinda Kesi,Uonevu Hauna Nafasi Dhidi Ya Haki.

Kwa Niaba Ya Chama Cha CHADEMA Wilaya Ya Mbozi.

Tunatoa Shukrani Za Dhati Kwa Wakili BONIFASI MWABUKUSI, Wananchi,Wanachama Na Viongozi Wote.Mungu Awabariki Sana.
FANUEL MKISI-VWAWA.
 
Justice delayed , justice denied! Politically motivated cases!
 
Mahakama nazo sasa zimechoka na vikesi vya kisiasa kama hivi. Kila kitu uchochezi, ukiuliza nani kachochewa wanatoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango.
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
Back
Top Bottom