Taarifa kwa wana Arusha ambao hawajafika uwanjani fungulia radio Sunrise

Luthar

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
519
105
Kwa wale hawajafika uwanjani tuning radio sanraiz freq 94.8 baada ya mda kidogo tundu ataunguruma kutueleza yote yaliyo tokea nmc na mahakamani na juu ya wafungwa kugoma kushuka sheria inasemaje .hapo kwamtazamo wangu chadema nawaunga mkono asilimia 100/:
 
dar mkuu hiyo redio inayoishia magomeni mbona imetunyima uhondo!
 
mwambie awe makini al shaab wasimcameroon

same time watu wengine wamagamba wana mambo za kipimbi kati ya kikwete na lisu ni yupi waliye mcameroon shoga kikwete chadema watu makini wakati mwingi mtu tumia akili yako mwenyewe kwani hao al shababu ndiyo mdudu gani?
 
Back
Top Bottom