Kwa wale waliokosa mikopo wanaweza kutizama sababu zilizo waponza kupitia website ya bodi.

Mkuu nimechoka maana naambiwa 'BUDGET EXHAUSTED' mtaa utaniumiza ile mbaya hii ni mara ya tatu kuninyima mkopo. Ctamani tena.

Mkuu nimechoka maana naambiwa 'BUDGET EXHAUSTED' mtaa utaniumiza ile mbaya hii ni mara ya tatu kuninyima mkopo. Ctamani tena.

Mimi nimekosa na jina langu halipo kwenye sababu zote katika hizo, sijui maana yake.

Kwa wale waliokosa mikopo wanaweza kutizama sababu zilizo waponza kupitia website ya bodi.

kaka mi nimepangiwa udom koz ya saynsi wamesema fomu hazikufka ila kopi ya fomu ninazo risiti ndo ilipotea nifanyeje?
Any updates kutoka wizaran wakuu?

ni kweli walitoa wiki 2 za kutuma upya kwa wale walio category ya kwamba form zao hazikufika???? plz nijuze mkuu