Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,200
- 820
Nashindwa hata nianzie wapi, maana hii JUMIKI kiwango cha kufikiri ndo kimeishia hapo? Kwanza wao ni nani katika mamlaka za dola mpaka watetee uchomaji wa mabanda, is it Al Shabab branch? Je hiyo serikali ya kiislamu kwanini haikutumia sheria kuyaondoa mabanda mpaka wawachomee watanganyika?
Hivi Zanzibar ni officially Islamic country? Waanzishe basi mahakama ya kadhi wanasubiri nini! Hapo wamechoma mabanda kwa sababu walizozitaja, je ingekuwepo hiyo mahakama ya 'kanzu'-watu wangeshapondwa mawe mpaka kufa?
Kama wazanzibari hawawataki wazanzibara, tupige kura kukubali ama kuukataa, kwani bara inanufaika na nini toka huko?