Taarifa kwa vyombo vya habari Tanzania. Imetoka St. Joseph

hicho chuo nacho migogoro mingi sana, ningeshauri TCU wakipige ban kwa miaka kadhaa kwanza maana malalamiko mengi, hata wanafunz wa hapo poleni sana
Na sisi tuache majungu na fitna. Kulalamika ndio asili yetu, ndio maana ata malalamiko mengine yanapuuzwa tu.
 
Mshamba wewe! Umeshawahi kumfuata askofu Nzigilwa ukamuuliza uhusiano uliopo kati yao na wadhamini wa Chuo? Malaya wa Mawazo wewe! Chuo kinaitwa DMI and Collaborators.... Unajua collaborators wewe? Wanasambaza rushwa mpaka ERB na Wizara inawafahamu wewe malaya wa mawazo leo hii unapata wapi ujasiri wa kufundisha somo usolijua? Ndo malofa wa kisasa nyie! Mnatafuta laana za bure kudandia treni kwa mbele
Ai! Kumbe mlikuwa mnafanya na siasa! Na umalaya! Jamani..basi karibu mtaani japo nako ugali moto,mboga moto.
 
tuliowahi kupitia kile chuo tunajua kwa dhati kabisa kuwa ni moja ya vyuo vya hovyo kuwahi kutokea nchi hii, wahindi pale ni wababe sana nakumbuka mkuu wa idara ya umeme bwana tevez na msaidizi wake van dame walikuwa wababe hatari wakati quality of education is poor. Ukitaka kumaliza chuo pale no matter what your performance is wewe hakikisha unalipa ada yote basi hiyo ni ticket ya kufika 4th year
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Niliwahi kuwa St'Joseph tawi la Songea nikosoma Diploma in computer science, sasa chuo kile kikakumbwa na majanga kisa mfumo wao wa elimu hadi kikafutwa.


Tukahamishwa chuo kibaya majina ya kupangiwa chuo kipya yanaeleza tunasoma COMPUTER APPLICATION ilihali kule wanatufundisha COMPUTER SCIENCE. Hao majamaa hiyo kozi waliyosajili ada yake ni ndogo, wameamua watufundishe nyingine na kutupiga ada kubwa mno. Kiufupi walitutapeli,


Huko napo wanaleta uhuni, watafungiwa vyuo vyote wawe serious si kutuharibia elimu
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hapo wekeni kila kitu pembeni fanyeni kugoma kweli kweli...watamrudisha na mtapata mageuzi zaidi...
 
Campus ya hicho chuo chenu kule SONGEA na ARUSHA waligoma kwa madai kama yenu na TCU ikazifuta hivyo vyuo na wanafunzi wake kuhamishiwa SUA,UDOM na RUCU…

Kwa kua madai yenu ni yale yale anzisheni mgomo usio na kikomo mpate haki zenu maana st. Joseph sio chuo ni genge la wafanyabiashara wa kihindi wakishirikiana na viongozi wa serikali.

Mkae mkijua hata mkimaliza nyie na vyeti vyenu vya ST. JOSEPH kupata kazi ni kazi zaidi ya kazi yenyewe.
 
Wewe ukiendelea na ukambi wako wakati Mwenyekiti wako kashakukanya utafunzwa na ulimwengu! Huna tofauti na mfalme ****... Ukibisha nitakutaja jamii nzima na ndugu zako wakujue... Uko mwaka wa tatu lakini hata kujua nini sahihi huwezi unamkalia uliyempigia kampeni! Lofa sana we jamaa! Hilo kabila litaje kama unajiamini mtoto wa fikra wewe! Sabato yako haijaisha unafanya unafiki na roho mbayambaya! Kwa kifupi nenda kachonge kwa Wahindi labda utaolewa kwai
Hiv huyo jamaa ni msabato? Mbona hakuna wasabato marofa? Mpe pole ametokea adv gan huyo
 
Siwapendi wahindi hata kidogo.

Hapa nipo hospitali sasa wakati nasoma thread hii akaja mhindi kupima damu.

Hajuai kiswahili wala nini sasa nilichokifanya nikaamua na mimi kutokujua hata kile kiingereza kidogo.

Namuongelesha kiswahili mwanzo mwisho

Halafu nikatafuta ile sindano kubwa kuliko zote ndo nikaitumia kwa wanaozijua nimetumia ile ya 10mls.

Hawa watu ni WAPUMBAVU SANA ni muda sasa wa sisi kulipa wanayofanyiwa ndugu zetu huko kwa PUMBAVU SANA
Hahaha....nikiwa form 5 tushawahi fanya debate na wanafunzi wa hapo Agha Khan Mzizima walituita Nyani....
Moto uliwaka siku hiyo.

Sent from my SM-N910P using JamiiForums mobile app
 
10345aab367ba3f24d6dd449584906f7.jpg
 
Back
Top Bottom