Taarifa kwa Vyombo vya Habari kutoka Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha juu ya CHADEMA

Hata lile bomu la kanisani wahusika waliachwa na baadala yake akaandamwa mtu mwingine. Haya ni mambo ya kawaida kwa polisi wa Tanzania.
 
Hata kesi ya Dr Ulimboka aliyekamatwa ni mkenya baadala ya wahusika wa Ikulu.
 
Ripoti inasema tundu la futi moja na nusu kwa futi moja na nusu mtu hawezi kupenya?!

Hili mtu anapenya kabisa bila shida. Labda awe na umbo kubwa kama Komba wa TOT!
 
CCM inatumia nguvu kubwa sana kubaki madarakani,,,lkn mungu yupo,,,hili la ofisi limetengenezwa hili kuchochea mgogoro uliopo ndani ya chama,,,,,wameona chama hakijatetereka kufuatia maamuzi ya kamati kuu dhid ya zitto yenyewe,,,na sasa wanaandaa matamko fake na kuchoma ofis za chama,,,lkn mungu atawaumbua tu.
 
Chadema haiwez kuchoma ofis zake,,,chama chetu pamoja na ukubwa wake lkn kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa ofisi katika mikoa mingi,,,sasa iweje ichome ofisi?????
 
Upelelezi Unaendelea, amesema Kamanda! tusubiri...
Kama tunavyosubiri uchunguzi wa..
1. Bomu mkutano wa CDM
2. tindikali za Zanzibar
3. Mauwaji ya padre Zanzibar
4. dr. Ulimboka
5. kibanda
6. Sengondo Mvungi
7. Sarah Simbaulanga na BOT
8. Mkenya mtesaji wa Dr. Ulimboka
9. EPA
10. TAN power resources na kiwira yao
11. Richmond
12. Madawa ya kulevya.....
 
Ni wewe kweli au unatania? Umenishangaza kwa ninavyokufahamu hapa JF na kukusikia...... Inabidi sasa nikuamini.
Hii ofisi ya Arusha atakua ameichoma Zitto na Kitila hii. Na wametumwa na Ccm wachome ofisi!!
 
Imenikumbusha shule tulikuwq bweninini tunaongelea hbr ya moto Mara moyo ukawaka kwny godoro tulipphojiwa na polic hawakutuelewa na hata hawa cdm cjawaelewa
 
tisa, kuna uwezekano mkubwa moto huo ulizimwa kwa kutumia hewa chafu/co[SUB]2.[/SUB]

Kwenye red. Nimecheka sana--eti hewa chafu?!!!!!!!!!!! Kwani CO2 inaitwa hewa chafu? Hiyo ndiyo misukule ya CCM (poliCCM)!!!
 
TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA

Inasemekana ofisi hiyo iliungua Baada ya Lema na Nasari ambao walikuwa wanavutia bangi humo kusahau kipisi cha Bangi kikiwa kinawaka juu ya meza ya mbao.
 
Polisi wameendeleza gemu lile lile la kisiasa, taarifa zinazohusu chadema wanatoa kirahisi, kwamba chadema wamejichoma wenyewe, kama walivyosema kwenye bomu la soweto chadema walijilipua wenyewe.
Chakushangaza zaidi mpaka leo Polisi hawajatoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya mwanamke aliyetaka kumpiga risasi askari polisi aliyekuwa analinda CRDB Mapato

Mungi, Crashwise, Liverpool na makamanda wengine mlioko Arusha tunaomba mtupe upande wa pili wa shilingi. Tumewasikia Polisi na ni vizuri tukisikia upande mwingine.
 
Kuna mtu kanisimamisha mitaa ya Kijitonyama. Akaniambia "braza najua wewe uko kwenye mambo ya siasa, naomba nikuulize swali".

Nikamwambia kama mambo ya kuhusu Zitto kawaulize Chadema wenyewe.

Akasema sio hivyo.

Nikamwambia uliza.

Akaniuliza "hivi kwanini Chadema Arusha wamechoma ofisi yao?"

Nikamwambia mimi sijui, ila nimesikia wameitisha mkutano wa hadhara. Kwavile mkutano huo walianza kuuandaa kabla ofisi haijaungua na kwavile wamesema mkutano huo unahusu kuungua kwa ofisi, basi tusubiri labda watatangaza sababu ya kuiunguza hiyo ofisi.

Nikamwambia kwanini umeulizia ofisi ya Chadema?

Akasema kwa sababu kama miezi miwili iliyopita alitoa mchango wa kujenga ofisi ya Chadema, sasa anahofia kama ofisi zenyewe baadae Chadema inaziunguza basi pesa yake itapotea bure.

Nikamwambia asihofu, Arusha tatizo ni Lema tu. Otherwise mikoa mingine hakuna mkakati wa kujiunguzia ofisi.

Kama kuna mdau mwenye jibu naomba tumsaidie huyu mwananchi

Ulivyotokea mlipuko kwenye mkutano mkasema Chadema wamejilipua,na leo tena Chadema wamechoma wenyewe wamechoma ofc yao.Mciwe wepesi wa kuhukumu wakati ukweli hamuujui.
 
Taarifa hii inaleta ujumbe gani hasa? Kwamba CHADEMA wamechoma jengo wenyewe? Kwanini uchunguzi huu umekwenda haraka hivi?

Tupatupa wa Lumumba
Kwani wewe ulitaka polisi waseme nini? Nakushangaa pia unapohoji polisi kutoa mapema taarifa ya uchunguzi wa tukio hili wakati katika katukio mengine mnapiga kelele kuwa uchunguzi unachelewa
 
tunataka ripoti ya kapuya nayo watuletee mtandaoni, kuanzia lini policcm wakaenda kidigitari namna hii?
 
Chadema haiwez kuchoma ofis zake,,,chama chetu pamoja na ukubwa wake lkn kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa ofisi katika mikoa mingi,,,sasa iweje ichome ofisi?????
Hivi umesoma ile ripoti na kuielewa? Au unachangia kwa ushabiki tu
 
Ulivyotokea mlipuko kwenye mkutano mkasema Chadema wamejilipua,na leo tena Chadema wamechoma wenyewe wamechoma ofc yao.Mciwe wepesi wa kuhukumu wakati ukweli hamuujui.
Mkuu, kwaninhaiwezekani chadema kujilipua wenyewe? Unategemea nini kwa viongozi mafya kama Lema?
 
Ni wewe kweli au unatania? Umenishangaza kwa ninavyokufahamu hapa JF na kukusikia...... Inabidi sasa nikuamini.

Ndugu yangu Sikonge sasa unafikiri chadema watasemaje? Akili zao ndefu watafikiri hivyo nilivyoandika.
 
TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA

Inasemekana ofisi hiyo iliungua Baada ya Lema na Nasari ambao walikuwa wanavutia bangi humo kusahau kipisi cha Bangi kikiwa kinawaka juu ya meza ya mbao.

Zamani hakukua na wanaoipinga cdm kama hivi karibuni.

Je cdm wamekosea mahali au ni watakatifu kama wanavyojinadi?
 
Back
Top Bottom