Bado kunatatizo kwenye hizo siku 14,kwenye kipindi cha bunge au muda wowote tu asilimia 20 ya sahihi ikipatikana unapereka hoja kwa spika.
Siku hizi umeokoka Pasco? kweli ukombozi Tanzania umekaribia
mimi kilichonisikitisha ktk list ya wabunge 73 waliosign kiongozi mkuu wa kambi ya upinza freeman mbowe hakuwepo sijajua kama karidhika huu wizi wa mawaziri au ana nia gani
Siku hizi umeokoka Pasco? kweli ukombozi Tanzania umekaribia