Taarifa kwa umma:Tangazo hili la nafasi za jkt ni feki.

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,471
12,373
Jihadharini na matapeli hili tangazo la nafasi za jkt linasambaa kwa kasi sana mitandaoni.hii kitu ni feki na imefanyiwa editing ukiangalia vyema utaona font size ya mwaka iko tofauti na maandishi mengine.

vijana wote mnataka kujiunga na jkt kuweni makini mtakuja kulizwa na wajanja wa mjini..... 2016-03-16_14.31.42.jpg

mpak sasa kwenye website ya jkt hakuna tangazo lolote linalo husiana na kutolewa nafasi za kujiunga na jeshi la kujenga Taifa.
 
Back
Top Bottom