Taarifa kwa Umma: Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza la Mawaziri Dodoma

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
1,305
2,000
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Oktoba 20,2021 ameongoza Kikao Cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino Dodoma

1.jpg
2.jpg
Taarifa zaidi zitawajia

KaziIendelee
AnachapaKazi
 

Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
10,780
2,000
Hili Baraza lake la mawaziri ni mzigo kwa wananchi kwani ni kubwa sana !!! Afanye busara ya kulipunguza kwani hata ukiangalia hiyo picha sidhani kama kwenye hiyo CABINET mawaziri wanapata nafasi ya kuchangia hoja za Wizara nyingine zaidi ya hoja za Wizara zao wenyewe!!!! Dhana ya collective responsibility inataka mawaziri wachangie katika uamuzi wowote ambao serikali itachukua na wawe wanaelewa implications za uamuzi huo; with such a huge cabinet it becomes almost impossible.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom