Taarifa kwa Umma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akutana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Kattanga Ikulu ya Chamwino Dodoma

Mpango apunguze kupenda publicity si kila mahara panataka Kamera na kuonekana
 
Dah natamani niwaambie mods wanichagulie tusi...

Nikisema langu nisije pigwa ban..

Hii nayo imekuwa ni habari siku hizi..??? Badala habari iwe walichozungumza ila habari inakuwa kukutana halafu bado tunamtafuta aliyeturoga
 
Back
Top Bottom