Taarifa Kwa Umma Kutoka Benki Kuu Ya Tanzania kuhusu NBC

na hawa NBC wanatangaza kitu kinaitwa mshiko dabodabo, siwaelewi.
ngoja nikadroo mzigo wangu wote kabla haijafilisika
 
Benki hii ya NBC inanishangaza haswa kuanzia huduma zao hamna ubunifu wakati wenzao CRDB, NMB sasa wana mobile money/transfer wao ndo kwanza wamebweteka, muda wa kufunga kwao ni saa 9 alasiri wakati wenzao ni saa 11 wakati EQUITY ni mpaka saa 1 usiku, Wafanyakazi wao wengi ni WAZEE na wavivu na hawana CREATIVITY kabisa, ukitaka kujua pata tatizo tu dogo la kadi/ATM utaambiwa njoo mwezi ujao. mameneja wa matawi ndo balaaa, NBC imeshachoka kwa sasa
 
Mkuu unawalaumu bure hizo shughuli zote ni OUTSOURCED to SOUTH AFRICA, sasa unategemea nini? hata kufungua akaunti mpya hapo ni Miezi maana kila kitu kinafanyika south africa, na BOT wameridhia.
 
Back
Top Bottom