Taarifa kwa umma kusitishwa kwa tangazo la ajira

Peter Dafi

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
389
272
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO

TAARIFA KWA UMMA
KUSITISHWA KWA TANGAZO LA AJIRA

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto inapendakuwafahamisha kwamba tangazo la Ajira ya dharura kwa wataalam wa fani mbili za afya za Tabibu Wasaidizi(Clinical Assistant) na Wauguzi (Enrolled Nurses) zilizotangazwa tarehe 23/5/2016 limesitishwa hadi hapo maelezo mengine yatakapotolewa

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Afya
23/5/2016
 
Mnatoa tangazo tarehe 23/05/2016 na kulistisha siku hiyohiyo.
 
Mmesitisha tangazo la ajila inafata kupunguzwa waajiliwa yetu masikio na macho
 
Pesa zote wametafuna Mkuu kwenye "kampeni za Urais" hata madaktari inadaiwa hawataajiriwa mwaka huu pamoja na upungufu mkubwa wa madaktari nchini nadhani itakuwa ni mara ya kwanza kutoajiriwa kwa madaktari nchini tangu tupate uhuru.

Pesa hakuna ama??
 
Back
Top Bottom