Taarifa kwa umma kuhusu ajira kada ya mahakama

NANGA WA KWATA

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
347
232
Habari,

Wale waliopewa barua za kusitishwa kazi kwa kada ya mahakama walioajiriwa mwezi wa tano wameanza kuitwa kurudi kazini. Kada ya Mbeya wamepigiwa simu wakaambiwa kuripoti tarehe 01/08/2016.

Je kwa kada zingine vipi wakuu?
 
Ahsante kwa taarifa mkuu.....Mimi pia nilisitishiwa ila sio hakimu...Subiri kuna wenzangu walisitishiwa walikuwa Kisutu ntawauliza...
Asantee pia waulizie na wa kanda ya mbeya ,walinzi na kada mbali mbali wameitwa kwa kupigiwa cmu
 
Habari,

Wale waliopewa barua za kusitishwa kazi kwa kada ya mahakama walioajiriwa mwezi wa tano wameanza kuitwa kurudi kazini. Kada ya Mbeya wamepigiwa simu wakaambiwa kuripoti tarehe 01/08/2016.

Je kwa kada zingine vipi wakuu?
habari hii si ya kweli,siku nyingine kama ni tetesi,weka wazi kuliko kudhibitisha kisicho au uje na source ya kuaminika ya habari. this is the home of great thinker
 
Back
Top Bottom