Taarifa kwa Umma: Comrade Humphrey Polepole Kuunguruma Kesho Saa 5 Asubuhi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,204
4,692
USKOSE! SI YA KUKOSA!

•Itakuwa yatokanayo na safari ya kuomba kura ya Mgombea wa @ccmtanzania Ndg. John Magufuli
-Ni Elimu, Taarifa na Maarifa
-Ni kuusema ukweli wote dhidi ya wapotoshaji wenye hila mbaya na Nchi yetu.
-Ni nafasi nyingine ya kumwombea kura zote Ndg. Magufuli•

Ndugu Mtanzania Mzalendo usisahau kuwataarifu wengineo
 
USKOSE! SI YA KUKOSA!

•Itakuwa yatokanayo na safari ya kuomba kura ya Mgombea wa @ccmtanzania Ndg. John Magufuli
-Ni Elimu, Taarifa na Maarifa....
Kwa ufupi:
Wakulima hoi bin taaban
Wafanyakazi hoi bin taaban
Wastaafu hoi bin taaban
Waliomaliza vyuo hoi bin taaban
Wafanyabiashara hoi bin taaban
Wavuvi hoi bin taaban

Eti huyu anataka mi5 tena!! Afanye nini?

Huyu ni rais wa wanyonge gani?
 
Kilichowazi na ccm wanajua ni kwamba kwanza hawakushinda Zanzibar wala bara 2015 ndio maana ya rais kutangaza vita dhidi ya upinzani alipoingia tu madarakani. Chaguzi za madiwani na wabunge walionunua wote mnakumbuka ilikuwaje. Watz wanajua nn kilitokea December mwaka jana uchaguzi serikali za mitaa.....
Kimsingi na ccm wanajua hakuna
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi
Wakuichagua ccm na ndio chanzo cha haya yote kulazimisha kubaki madarakani kwa nguvu ya tume km alivoahidi rais lkn pia kwa nguvu ya dola km alivyosema Bashiru
 
USKOSE! SI YA KUKOSA!

•Itakuwa yatokanayo na safari ya kuomba kura ya Mgombea wa @ccmtanzania Ndg. John Magufuli
-Ni Elimu, Taarifa na Maarifa
-Ni kuusema ukweli wote dhidi ya wapotoshaji wenye hila mbaya na Nchi yetu.
-Ni nafasi nyingine ya kumwombea kura zote Ndg. Magufuli•

Ndugu Mtanzania Mzalendo usisahau kuwataarifu wengineo
Akafie mbele huyo babu
 
maji kumshingo hakiyanani. lazima waokoe jahazi kwa propoganda za redioni na kwenye tv kwani majukwaa ya kampeni yamebuma.

aisee MATAGA wamechanganyikiwa hapa Lumumba usipime - hii habesi habesi ya Tundu Lissu hakuna hata mtu aliyekuwa anaitarajia.

kumbe miaka 5 yote iliyopita watu walikuwa wanaugulia mioyoni tu. jamaa alipokuwa akihutubia mikutano yake ya hadhara ya kujimwambafai kumbe walikuwa wanamsanifu tu. sasa hata mkoani kwake ni dhahiri hakubaliki.

ngoma inogile!
 
USKOSE! SI YA KUKOSA!

•Itakuwa yatokanayo na safari ya kuomba kura ya Mgombea wa @ccmtanzania Ndg. John Magufuli
-Ni Elimu, Taarifa na Maarifa
-Ni kuusema ukweli wote dhidi ya wapotoshaji wenye hila mbaya na Nchi yetu.
-Ni nafasi nyingine ya kumwombea kura zote Ndg. Magufuli•

Ndugu Mtanzania Mzalendo usisahau kuwataarifu wengineo
Kwa ushauri wangu kama hizo ndiyo hoja za Polepole, ningeshauri 'mtuhumiwa namba 1' azijibu jukwaani kwa kuwa kila siku anafanya kampeni.

Kuliko kutumia muda mwingi kuimbisha wasanii na yeye mwenyewe 'kukata mauno' angejikita kujibu hoja za wapinzani wake na kunadi sera zake.

Halafu kwa nini huyu 'msomi' wa PhD ajibiwe hoja na 'Chakubanga'? Kama vipi uandaliwe MDAHALO wa wagombea ajitokeze tumsikilize pamoja na wenzie.
 
Sioni tofauti ya Polepole na msemaji wa serikali ya Saddam Hussein wakati ule USA chini Bush jr ilipoivamia Iraq.

Wanajeshi wa Iraq walikuwa wanateketezwa lkn huyu msemaji akawa anapiga kelele za ushindi dhidi ya jeshi la USA.

Na Sasa Magufuli na CCM yake wako hoi ktk kampeni lkn Polepole kutwa anatangaza ushindi wa ccm.
 
Back
Top Bottom