Taarifa kwa umma juu ya huyu tapeli anayejiita dk mokiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa kwa umma juu ya huyu tapeli anayejiita dk mokiwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luckman, May 19, 2011.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Ndugu wanajamii na watanzania kwa ujumla,

  Kutokana na ugimu wa maisha watu wamebuni njia mbalimbali jinsi ya kutapeli watu na baada ya kugundua kuwa watu wana shida mbalimbali, hii loophole watu wanaimisuse to the maxmum,
  .
  kina mtu mmoja anajiita Dk mokiwa anayejifanya mganga wa kienyeji amabaye amewatapeli watu wengi sana kimiujiza, na hizi habari ni za kweli baada ya kupata story mbalimblai toka kwa watu nimeamua niwajuze wananchi ili wawe makini na huyu tapeli!

  UTAPELI WAKE!

  Ukienda na shida anajifanya anapiga ramli then anaongea na majini na wewe unasikia na unaweza ukaongea nayo!yanakwambia matatizo lukiki huki yakisolicit infotrmation flan flan kama mali zako, balance kwenye bank then mwisho yanakwambia ili usaidiwe unatakiwa ulete pesa kiasi flani!ukishapeleka hizo pesa zinawekwa kwenye bag then unaambiwa utoke nje kama dk 21 alafu ukirudi unaambiwa fungua bag ulilotumbukiza pesa then unakuta pesa zimejaa kama mil50, kubwa kuliko unaambiwa inatakiwa inunuliwe ambali ya kusafishia hiyo pesa ili itumike kama pesa za kawaida na unaambiwa ni pesa zako na bei yake inategemea na kiasi ulichowaambia unacho bank, ukishafanya hivo, unaambiwa inakiwa pesa kidogo ya kununulia unga, mwisho wa siku unakuta pesa yote imeisha kwenye bank account, then unaanza kupigwa kalenda hadi mwisho!

  maeneo yake ya kazi ni mwananyamala sokoni mbele ya showroom
  namba zake za simu ni 0712512023,0768175303 na 0782933223

  wataarifu na wengine juu ya huyu tapeli
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Mganga ni jamaa yako nini, hadi unazo contact zake zote!...au ni mmojawapo wa waathirika nini?

  Mi sioni tatizo na huyo mganga kabisa, Shida ninayoiona hapo ni mtu na akili zake anapoamua kwenda kibandani kwa huyo tapeli!
  Kama anaweza kuzalisha hela, kwanini asizalishe zake ajenge ma'Villa?...
   
 3. Wisdom

  Wisdom JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 473
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We ulienda kufanya nini, unapenda short cut eehh?
   
 4. Mihayo

  Mihayo JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu Mwananyamala ni HQ ya matapeli Tanzania. Kutapeliwa ni tamaa kaka katika maisha ukisha jaa tamaa basi ujue umeibiwa. Jaribu siku zote kuepuka kuwa na tamaa zisizokuwa na msingi.Matapeli always hucheza na tamaa zetu ili watuibie.
   
 5. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mnganga ni Mungu pekee ukimtegemea yy hakuna litakaloshindikana kwake,umepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na ng'e,kwann uhangaike na wanadamu?imeandikwa"Amelaaniwa mtu yule amtegemeae mwanadamu"Wataendelea kutapeliwa hao hao ma popompo ambao wanamtegemea huyo mganga wenu!Wanjanja tulishakombolewa zamaniiiiiiiiiiiiiiii na damu ya thamani.
   
 6. s

  sawabho JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa Mkuu, hawa watu ni wengi sana cha msingi ni kuepuka kuingia katika anga zao, wanatumia mazingaombwe ukishaingia kwenye anga zake lazima utatapeliwa tu na ukikosea ukampatia mkono, basi umekwisha utaenda hadi nyumbani kwako na kupatia hadi kitanda chako.
   
 7. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  "Heri kumtegemea MUNGU kuliko kumtegemea mwanadamu" ulikuwa hujui hili?? Nakupa hii dedication :.....Kekundu kekunduuu, kekunduu. shetani kekunduuuu......wajinga ndio waliwao*2
   
Loading...