Taarifa kwa umma, hizi namba zinajihusisha na uhalifu 0673606405 na 0657864407

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
2,000
Wanajamii na vyombo husika usalama na TCRA kuna meseji imetumwa asubuhi attached baadae wakapiga simu ikawa missed call, nyumbani wakawapigia kuna kaka anasema katumwa na Editha, alivyotakiwa ajieleze hakueleweka na ukilinganisha na meseji unaona kabisa hii ni janja ya mjini. Uhalifu
1469000600024.jpg
 

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
2,000
Naamini vyombo husika wanaweza kuingia kwenye database ya hizo namba kujua wapo wapi, ingawa kijana kasema yupo morogoro. Na pia mazungumzo yao na nyumbani walikotuma hii msg. Natanguliza shukrani.

NB. Sina uhakika wapi na ripoti huu utapeli ndio maana nimerusha kwa hapa.jamvini
 

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
2,000
Dah nimeambiwa na watu wa nyumbani kuwa kuna mfanyakazi aliyekuwepo na akaacha kazi ameleta taarifa kuwa kaibiwa simu. Sasa wanaitumia hiyo simu kutapeli. Simu iliibiwa kinondoni moroco kituo cha basi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom