Dkt Mpango Amuwakilisha Rais Samia Sherehe Ya Kuwekwa Wakfu Askofu Wa Dayosisi Ya Victoria Nyanza

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,204
4,694
Dkt Mpango Amuwakilisha Rais Samia Sherehe Ya Kuwekwa Wakfu Askofu Wa Dayosisi Ya Victoria Nyanza

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdor Mpango amemuwakilisha Rais Samia Suluhu Kwenye sherehe ya kuwekwa Askofu wa tano wa Dayosisi ya Victoria Nyanza iliyofanyika leo Mei 16, 2021 Kanisa la Anglican Jijini Mwanza
 
Back
Top Bottom