Taarifa kwa Tume ya Uchaguzi yanayoendelea Igunga

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,739
4,732
Hapa Igunga kuna mkutano wa Kampeni wa CCM chini ya Mwigulu na sasa ni SAA 18.10pm mkutano bado unaendelea je sheria zenu hazina meno kwa CCM
 
Si ni yale yale ya kufurahia matokeo ya kura kubandikwa vituoni, mkikuta kilichobandikwa ni tofauti na kilichotumwa tume ya Uchaguzi mtalalamika hivyo hivyo yataisha.
 
Hapa Igunga kuna mkutano wa Kampeni wa CCM chini ya Mwigulu na sasa ni SAA 18.10pm mkutano bado unaendelea je sheria zenu hazina meno kwa CCM

Refa wao atakuambia hivyo ni vionjo vya kisiasa! Ila vikitokea upande wa pili, vyombo vya habari vitasheheni hiyo habari.
`
`
 
Mwigulu,Nape,January makamba,makonda na ridhiwani kikwete na mzee makamba ndio chanzo cha vijana kuichukia ccm.Wanajidai ccm na nchi hii iko kwa ajili yao
 
Refa wao atakuambia hivyo ni vionjo vya kisiasa! Ila vikitokea upande wa pili, vyombo vya habari vitasheheni hiyo habari.
`
`

Vyombo vya habari kusheheni habari tu kwamba ukawa wamevunja sheria tu au na kipigo cha polisi cha kufa mtu.
 
Nchi hii CCM wakisema wanadumisha amani ni uongo, wanao dumisha amani ni Wananchi kwa kuwa wapole.

CCM ni wavunjifu wakubwa wa sheria.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom