mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 843
- 1,363
Kama binadamu naamini makame atajiuzulu kwa vurugu anazo sababisha yeye na tume yake iliyo chaguliwa na ccm, kwani mpaka sasa kuna wa2 wamesha uwawa, na atapata adhabu hiyo mpaka mwisho wa maisha yake, damu ya m2 c nzuri kumwagwa na mwanadamu mwenzio, mh dr.wilbord slaa nakuheshimu sana na ninacho omba uchukue hatua za kisheria dhidi ya hao mafisadi haina haja ya kuanzisha vurugu kila mwananchi anatambua ccm wameshinikiza matokeo dhidi ya tume yake iliyo iteuwa (nec), naamini unapigania haki za watanzania wote bila kujali udini,ukabila na uwezo, ccm wamejaribu kukuchafua wewe na chama kama kinaendekeza udini, kitu ambacho si sahihi, cha kufanya ni ku report nchi wahisani kusitisha misaada ili wajue hali halisi ya watanzania.