Taarifa kwa CCM, Mutungi, Polisi and allies: Chadema genome has already been incorporated into Tanzanians' DNA

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,373
73,975
Press ya Mnyika imesema kuwa Mtungi na CCM wana mpango wa kuifuta Chadema.

Mtungi, CCM, Polisi et al, fahamu kuwa Chembehai (DNA) ya CHADEMA imeshaunganishwa (INCORPORATED) na chembehai za watanzania.

Hivyo hilo mnalotaka kulifanya mnajisumbua sana sana mtaleta matatizo na sintofahamu, in the long run, isiwe leo au kesho kwa nchi yetu.
 
Chadema siyo chama wala siyo mtu wala siyo ofisi wala siyo sheria za vyama vya siasa bali ni imani inayoishi na kutawala.

Kuifuta imani ni ndoto ya mchana ambayo ni punguani peke yake ndiye anaweza kuiota!View attachment 1875906

wtou8.jpg
View attachment 1875908View attachment 1875907
 
Press ya Mnyika imesema kuwa Mtungi na CCM wana mpango wa kuifuta Chadema.
Mtungi, CCM, Polisi et al, fahamu kuwa Chembehai (DNA) ya CHADEMA imeshaunganishwa (INCORPORATED) na chembehai za watanzania. Hivyo hilo mnalotaka kulifanya mnajsumbua sana sana mtaleta matatizo na sintofahamu, in the long run, isiwe leo au kesho kwa nchi yetu.
Kuna vyama vingi vya siasa mtajiunga huko
 
Wajaribu waone,ila tusijelaumiana huko mbele ya safari. Rwanda ya 1994 itahamia hapa, tofauti ni kuwa hapa siyo ukabila bali itikadi za kisiasa. Tunasubiri kwa hamu kubwa maana tumechoka huu upumbavu wa CCM
 
Dogo unajidanganya kweli,uliona walivyofanya wafuasi wa Zuma?kwanini hamkufanya hivyo matokeo yake mnabweka mitandaoni

Kumbe wewe bado akili yako iko maliwatoni. Wale hawakuwa wafuasi wa Zuma bali ni wahalifu ndiyo maana badala ya kwenda kwenye gereza anakoshikiliwa waliamua kupora mali za watu.
 
Press ya Mnyika imesema kuwa Mtungi na CCM wana mpango wa kuifuta Chadema.

Mtungi, CCM, Polisi et al, fahamu kuwa Chembehai (DNA) ya CHADEMA imeshaunganishwa (INCORPORATED) na chembehai za watanzania.

Hivyo hilo mnalotaka kulifanya mnajisumbua sana sana mtaleta matatizo na sintofahamu, in the long run, isiwe leo au kesho kwa nchi yetu.

Hii strategy ya kuifutia usajili ni ngumu kutekelezeka ktk hatua ya sasa kwa sababu ni chama kikubwa mno chenye wafuasi wengi kuliko CCM...

Walishindwa kuifuta CUF miaka ya u - Rais wa Ben Mkapa na Kikwete kwa sababu hii hii, kwamba, it was a dangerous strategy to implement it...

Ili kuua chama cha siasa kilichokwisha kukua na kufikia kimo hiki, ni lazima utumie njia salama na ya kisayansi zaidi ili ku - avoid chaos inayoweza kutokea ndani na nje ya nchi...

Kwa CHADEMA ni kama wamesha explore kila option na zote zimeshindwa spectacularly...

Hii ya ugaidi ndiyo ya mwisho na itakayozaa uhuru na ukombozi mpya wa taifa la Tanzania. Unabii wa hii kitu kuanzia kifo cha Rais aliye madarakani, mwanamke kuongoza nchi ya Tanzania ulitolewa miaka 15 iliyopita...

Kwa hiyo things are happening not for coincidence. This is prophetic fulfilment of forming new nation of Tanzania....

Kwa hiyo, haya ni mapito tu ya kwenda kwenye uhuru wa pili wa Tanganyika. MSIOGOPE WALA MSISIKITIKE. Haya lazima yatokee...!!

Hii strategy ya ugaidi imeshashindwa hata kabla ya wapanda mbegu hiyo kuanza kumwagilia maji ili ikue na kuwazalia matunda...

Hata kuraruana wenyewe kwa wenyewe ndani ya serikali na chama chao (reference ni Gwajima saga) ni silaha iliyo sehemu ya mchakato huu wa UHURU KAMILI tunaoundea...
 
Wajaribu waone,ila tusijelaumiana huko mbele ya safari. Rwanda ya 1994 itahamia hapa, tofauti ni kuwa hapa siyo ukabila bali itikadi za kisiasa. Tunasubiri kwa hamu kubwa maana tumechoka huu upumbavu wa CCM
Hakuna Rwanda wala nini.Watanzania bado na mbinu hii inakisaidia sana CCM kwani kuanza tena kuaminiana na kujenga chama chenye nguvu inachukua muda na wao wanendelea kuteleza na ushindi wa 93%
 
Back
Top Bottom