Taarifa kutoka JWTZ kuhusu Jenerali Davis Mwamunyange

Kama wamezusha si wachkuliwe hatua tu. Ila mara nyingi vitu vya kweli Tanzania siku hizi huanza kama rumors halafu vinakua. Mfano tulisikia rumors kwamba Lowassa anahama CCM,mara kidogo ikatokea. Tukasikia kwa Sumaye anahama CCM,Nape akaja akaongea kwenye vyombo vya habari kuwa huo ni uzushi.Sasa Sumaye yupo kule UKAWA. Tukasikia Kingunge anaihama CCM,mara kidogo kaitisha. Sasa hii ya Mwamunyange sijui bwana,naona akili yangu ya rumours hapo imegota

Mkuu upo sahihi. Umesahau ya lipumba na Dr Slaa!!
 
Kama wamezusha si wachkuliwe hatua tu. Ila mara nyingi vitu vya kweli Tanzania siku hizi huanza kama rumors halafu vinakua. Mfano tulisikia rumors kwamba Lowassa anahama CCM,mara kidogo ikatokea. Tukasikia kwa Sumaye anahama CCM,Nape akaja akaongea kwenye vyombo vya habari kuwa huo ni uzushi.Sasa Sumaye yupo kule UKAWA. Tukasikia Kingunge anaihama CCM,mara kidogo kaitisha. Sasa hii ya Mwamunyange sijui bwana,naona akili yangu ya rumours hapo imegota

Waswahili wanasema 'lisemwalo lipo kama halipo laja.....
 
Hivi hii ishu hairuhusiwi kuhusishwa wanafamilia? Ili kutoa ukakasi katika kukamata na kuchimba biti hawa wanaosambaza uvumi huu kiuhalali angalau msemaji wa familia atusaidie kukanusha kama yeye mwenyewe hawezi.
Naota tu....
 
Ina maana mkuu wa jeshi la wananchi hajui kinachoendelea nchini?nadhani anatakiwa kujua habari kubwa zinazohusu nchi mf.uchaguzi,na kuzushiwa kifo kwake kama yuko popote duniani hapa.Kwa upeo wangu mdogo uchaguzi ukienda kombo, jeshi la wananchi chini yake ndo linaongoza sasa si aseme lolote kuhusu hili?
 
Afanye press conference, asifanye, we don't give a monkey, siku za utumishi wake zimefika ukingoni.

Huyu ndio atakuwa wa kwanza kukatwa na Lowassa.

Uongozi wake umeua raia kwa milipuko ya mabomu na abuse of power dhidi ya raia.

Ametuma majeshi nje bila training wameenda kufa kwa kuzama kwenye mifereji na mito ya maji.

Hana kazi, kutwa kushinda airport Dar-es-Salaam anampokea Kikwete na wageni wake.

Worst chief of defense forces in history of JWTZ.

Wewe una lako jambo!!
 
Ina maana mkuu wa jeshi la wananchi hajui kinachoendelea nchini?nadhani anatakiwa kujua habari kubwa zinazohusu nchi mf.uchaguzi,na kuzushiwa kifo kwake kama yuko popote duniani hapa.Kwa upeo wangu mdogo uchaguzi ukienda kombo, jeshi la wananchi chini yake ndo linaongoza sasa si aseme lolote kuhusu hili?
Kwa yaliyokwisha kutokea sisi waoga a.k.a watz halisi tunaogopa hata kuchangia uzi huu.
Hivi kwa idadi ya tv stations zilizopo na radio ni kwa nini moja isiseme ...."sasa tunajiunga na reporter wetu aliyepo Milan tumsikie mhusika moja kwa moja ili kuondoa uvumi...."

Back
Top Bottom