Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,352
- 9,810
Kama wamezusha si wachkuliwe hatua tu. Ila mara nyingi vitu vya kweli Tanzania siku hizi huanza kama rumors halafu vinakua. Mfano tulisikia rumors kwamba Lowassa anahama CCM,mara kidogo ikatokea. Tukasikia kwa Sumaye anahama CCM,Nape akaja akaongea kwenye vyombo vya habari kuwa huo ni uzushi.Sasa Sumaye yupo kule UKAWA. Tukasikia Kingunge anaihama CCM,mara kidogo kaitisha. Sasa hii ya Mwamunyange sijui bwana,naona akili yangu ya rumours hapo imegota
Mkuu upo sahihi. Umesahau ya lipumba na Dr Slaa!!