Taarifa kutoka JWTZ kuhusu Jenerali Davis Mwamunyange

hiv mwamnyange sio kiongozi wetu cc watanzani? Kwann msitwambie ukweli? Kama amedanja twambieni! kama mumemlisha sumu mtakuwa sio wastaarabu! Nawapa siku tatu msiponipa jibu naenda mahakani mara moja tena the Hague

Ndugu angalia maneno yako!! Shauri yako
 
Daah nimecheka sana hope kikwete awe ndo anasoma ujumbe huu alafu anampasia kwenye kiti cha jirani yake
Wacha tu wakamwambie huyo Kikwete wake, wote wawili ni chale mwembamba na chale mnene. Umeona wapi duniani Mkuu wa Majeshi kazi yake kutwa kupokea wageni airport? Colossal waste of time.

Eti kaalikwa na Mkuu wa Majeshi wa Italy kwa ziara ya siku tisa, Mkuu wa Majeshi ya Italy has no time na Mwamunyangulule wetu huyu jamani.... aaaaah! For what, kampelekea vinyago?
 
Pasco post zako huwa naziona baada ya muda kuputa! Plz Pasco say something about our Chief Mwamu....nge
 
Wacha tu wakamwambie huyo Kikwete wake, wote wawili ni chale mwembamba na chale mnene. Umeona wapi duniani Mkuu wa Majeshi kazi yake kutwa kupokea wageni airport? Colossal waste of time.

Eti kaalikwa na Mkuu wa Majeshi wa Italy kwa ziara ya siku tisa, Mkuu wa Majeshi ya Italy has no time na Mwamunyangulule wetu huyu jamani.... aaaaah! For what, kampelekea vinyago?

Italy ni kweli. Anaongea tu buongiorno ( shikamoo ), come stai, tutto bene. E poi da lì fino Tanzania quanto costa. Lasciamo i poveri in pensiero perché non facciamo niente è stato solo un chiacchierata. Pia kura yangu kwa magufuli. Kama Obama ndio wanakuwa marais. Toa hapa lowasa fake design.
 
Attachments

  • 1444687471260.jpg
    1444687471260.jpg
    26.5 KB · Views: 859
Hivi hii ishu hairuhusiwi kuhusishwa wanafamilia? Ili kutoa ukakasi katika kukamata na kuchimba biti hawa wanaosambaza uvumi huu kiuhalali angalau msemaji wa familia atusaidie kukanusha kama yeye mwenyewe hawezi.
Naota tu....

Mkiwa ni wanafamilia wa kiongozi nyie mjue hamna umiliki kwenye maamuzi kama hayo, kumbuka babu walivyomfanyie kule kwa mtakatifu"mpaka nishike ndio niamini", wakawanyamazisha familia siku kibao hapa bongo,
 
hiv mwamnyange sio kiongozi wetu cc watanzani? Kwann msitwambie ukweli? Kama amedanja twambieni! kama mumemlisha sumu mtakuwa sio wastaarabu! Nawapa siku tatu msiponipa jibu naenda mahakani mara moja tena the Hague

Unanikumbusha mbali, r.i.p mchungaji mtikila, ungekuwepo ungetusaidia kufungua kesi mahakama kuu kudai kamanda atolewe alipo kabla ya uchaguzi ama sivyo uchaguzi usifanyike!
😂
 
Naniii ni ile ile na nani ni walewalee..🎶
Tumejipanga sasa hii wataisomaah!🎶📣📣📣📣
 
Italy ni kweli. Anaongea tu buongiorno ( shikamoo ), come stai, tutto bene. E poi da lì fino Tanzania quanto costa. Lasciamo i poveri in pensiero perché non facciamo niente è stato solo un chiacchierata. Pia kura yangu kwa magufuli. Kama Obama ndio wanakuwa marais. Toa hapa lowasa fake design.
Nonsense!
 
wabongo bhana ss mtu katembelea boxing academy afanye nn? sio kila sehem sasa jukwaani na pushapu wap na wap, watu wanataka kusikia uwezo wako na sera uhusiano wa pushap na ikulu unatokea wapi hatutaki mtu mwenye nguvu Tunahitaji mwenye akili, wenye afya na nguvu wapo weeeengi.tena pushapu za mkono mmoja.
 
Kama nimesoma vizuri umesema ziara yake aliondoka jumanne Sep 22. Je ziara yake ni ya siku ngapi anarudi lini.
 
Back
Top Bottom