Taarifa kutoka JWTZ kuhusu Jenerali Davis Mwamunyange

why akuwe nje ziara ya nini kipindi hichi cha sintofaham juu ya mstakabali wa taifa letu lolote laweza tokea na yy ndio tunayemtegemea kuwa ndio wakutulinda na kuilinda Tanzania jukumu hilo lipo mikononi mwake.

au kuna mapinduzi ya kimya kimya wanayafanya huku nyuma na kupitisha mambo kienyeji enyeji enyeji ??

kuna sintofahamugani! au kuhusu huyo fisadi enu EL? ufanye shughuli zako kesha shindwa.
 
WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, imewataka watu waliosambaza uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange, kuwa amelazwa nje ya nchi kwa ugonjwa, kuomba radhi mapema la sivyo watachukuliwa hatua.

Taarifa iliyotolewa jana na msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Luteni Kanali Juma Sipe, imeweka wazi kuwa Jeshi na Wizara kwa kushirikiana na mamlaka husika, wanachunguza watu hao na kuwataka waombe radhi mapema kabla ya hatua hizo.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Jenerali Mwamunyange ni mzima wa afya na aliondoka nchini Jumanne iliyopita Septemba 22, 2015, saa 10.45 jioni kwa ndege ya Shirika la Ndege la Emirates kwenda Rome, Italia kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo, Jenerali Claudio Graziano.

“Tunapenda kuwahakikishia wananchi kuwa Jenerali Mwamunyange pamoja na ujumbe wake wanaendelea na ziara hiyo kama ilivyopangwa na amesikitishwa na uvumi huo,” alisema Sipe.

Sipe alisema uvumi huo ni matumizi mabaya ya uhuru wa habari na kuupotosha umma na umeleta usumbufu kwa familia ya Jenerali Mwamunyange, Jeshi na Taifa kwa ujumla.

Alisisitiza kuwa watu walisambaza uzushi huo kwamba Jenerali Mwamunyange amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan iliyopo Nairobi, Kenya, huku wengine wakidai kuwa yuko nchini India kwa matibabu, kumuomba radhi kwa kutambua kuteleza kwao.

“Taarifa hizo ni uongo wenye kila dalili ya kutengenezwa kwa lengo la kuwatia hofu Watanzania juu ya usalama wa kiongozi huyu wa juu wa majeshi yetu, Mkuu huyo wa Majeshi ya Ulinzi, ni mzima wa afya na hayupo nchini Kenya wala sio India kama ilivyoenezwa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari,” alisema Sipe.

Sipe alionya kwamba kuacha kuomba radhi, itatafsirika kuwa ni kukiri kueneza uzushi huo kwa makusudi na kwa dhamira fulani na hivyo kushawishi hatua zaidi kuchukuliwa. Alisema wizara hiyo imesikitishwa na tabia hiyo ya uzushi inayopingana na weledi na kanuni za uandishi wa habari.

kwa upande wangu sijaona taarifa rasmi ya serikali uliyotupa. ili kuondoa shaka tafadhali attach taarifa husika. hii itaziba vinywa vya waongo na wazushi wanaotaka kuaminisha umma kinyume cha ukweli
 
Aliesambaza hizo taarifa anaitwa Benedict ngoyai.then mgombea urais wa chadema anaitwa Edward ngoyai
 
WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, imewataka watu waliosambaza uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange, kuwa amelazwa nje ya nchi kwa ugonjwa, kuomba radhi mapema la sivyo watachukuliwa hatua.

Taarifa iliyotolewa jana na msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Luteni Kanali Juma Sipe, imeweka wazi kuwa Jeshi na Wizara kwa kushirikiana na mamlaka husika, wanachunguza watu hao na kuwataka waombe radhi mapema kabla ya hatua hizo.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Jenerali Mwamunyange ni mzima wa afya na aliondoka nchini Jumanne iliyopita Septemba 22, 2015, saa 10.45 jioni kwa ndege ya Shirika la Ndege la Emirates kwenda Rome, Italia kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo, Jenerali Claudio Graziano.

“Tunapenda kuwahakikishia wananchi kuwa Jenerali Mwamunyange pamoja na ujumbe wake wanaendelea na ziara hiyo kama ilivyopangwa na amesikitishwa na uvumi huo,” alisema Sipe.

Sipe alisema uvumi huo ni matumizi mabaya ya uhuru wa habari na kuupotosha umma na umeleta usumbufu kwa familia ya Jenerali Mwamunyange, Jeshi na Taifa kwa ujumla.

Alisisitiza kuwa watu walisambaza uzushi huo kwamba Jenerali Mwamunyange amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan iliyopo Nairobi, Kenya, huku wengine wakidai kuwa yuko nchini India kwa matibabu, kumuomba radhi kwa kutambua kuteleza kwao.

“Taarifa hizo ni uongo wenye kila dalili ya kutengenezwa kwa lengo la kuwatia hofu Watanzania juu ya usalama wa kiongozi huyu wa juu wa majeshi yetu, Mkuu huyo wa Majeshi ya Ulinzi, ni mzima wa afya na hayupo nchini Kenya wala sio India kama ilivyoenezwa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari,” alisema Sipe.

Sipe alionya kwamba kuacha kuomba radhi, itatafsirika kuwa ni kukiri kueneza uzushi huo kwa makusudi na kwa dhamira fulani na hivyo kushawishi hatua zaidi kuchukuliwa. Alisema wizara hiyo imesikitishwa na tabia hiyo ya uzushi inayopingana na weledi na kanuni za uandishi wa habari.

Siku hazgandi muraa,tunamtaka mkuu wetu full stop
 
Habari kamili huanza na tetesi ni suala la muda tu. Naomba tuwe wavumilivu.
 
Hapa kuna namna majuzi niliweka topic kuhoji hili jambo kuna member mmoja humu akanipiga mkwara akisema nitakamatwa na kisha nipotee maana najifanya najua sana,nisijifanye kubadili ID ila watanipata tu,si Lowassa wala UKAWA watakaoweza kunisaidia nikiwa Loliondo au segerea eti mimi nina chochoko sana na ninachochea watu,kama naipenda familia yangu niache uchochezi,member huyo nakumbuka alitumia ID ya La Brijita (sina uhakika ila match) sasa najiuliza vitisho vya nini? Na Lowassa hapa aliingiaje? Ngoja tusubiri time will tell.
special agent hilo neno la @La Brijita umenikumbusha mbali sana. Ni neno la Kilatino lenye maaana ya "Mchawi Mdogo".
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na rai hii ya JWTZ ya kutaka wahusika waombe radhi,bado Watz tumebaki na maswali mengi kuliko majibu.Muda utazungumza.
 
Ngoja mi ninyamaze. Nisije nikatolewa mfano kwa jamii. But the question still persist. Where is he?
 
Back
Top Bottom