Elections 2010 Taarifa: Kesi ya Mpendazoe Imepangiwa jaji

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Kwa wale ndugu zangu ambao wanafuatilia kwa karibu ile kesi ya Mpendazoe dhidi ya mahanga, ni kuwa kesi sasa imepangiwa jaji ambaye atakuwa Prof. Ibrahim Juma. Kinachosubiliwa kwa sasa ni kupangiwa tarehe ya kuanza kisikilizwa. Tuko pamoja.
 
Mahanga si ameshaukwa u-naibu waziri? - kesi hii inaweza kupigwa danadana mpaka June 2015!
 
hakuna dana dana ni kupiga chini tu mahanga ni mwizi wa kura na hiyo iko wazi kabisa
 
hyu jaji kateuliwa na JK au maana kama kateuliwa na JK itakuwa issue kinoma,haki inaweza isitendeke.
 
Plz vp kesi nyingine kama ya mgombea wa moshi vijijini si kuna tetesi naye amefungua kesi.. Au huu ni uzushi ..?
 
Wakati umewadia. Ile kesi itakuwa kesho Alhamisi 03/02/2011. Wote mnaoweza mnaombwa kuwa mahakamani siku hiyo tumpe company mpendazoe. hauwezi kupewa haki bila kuidai na kuisimamia..... "Malanilo; December 27, 2010 at Bukiriro village"
 
hyu jaji kateuliwa na JK au maana kama kateuliwa na JK itakuwa issue kinoma,haki inaweza isitendeke.

Hivi JK anafanya mangapi, kwa nini tusisubiri uamuzi wa mahakama ndio tuanze kuhukumu?
 
Wakati umewadia. Ile kesi itakuwa kesho Alhamisi 03/02/2011. Wote mnaoweza mnaombwa kuwa mahakamani siku hiyo tumpe company mpendazoe. hauwezi kupewa haki bila kuidai na kuisimamia..... "Malanilo; December 27, 2010 at Bukiriro village"

Hiyo ndo taarifa ya muhimu,then tupe update hatuwezi wengine kufika huko mahakamani
 
hebu naombeni mnipe profile ya huyo jaji jamani,isije tukawa tunatwanga maji kwenye kinu...
 
:roll:[tunaomba uendelee kutupdate mkuu maana tupo mbali sana kimakazi ktk nchi hii
 
hebu naombeni mnipe profile ya huyo jaji jamani,isije tukawa tunatwanga maji kwenye kinu...

Ukipata profile yake itasaidia nini? utendaji wa mtu haupimwi kwa profile yake, hebu tumpe huyu jaji nafasi ya kufanya kazi yake kisha ndio tufanye evaluation baada ya hukumu!
 
Ukipata profile yake itasaidia nini? utendaji wa mtu haupimwi kwa profile yake, hebu tumpe huyu jaji nafasi ya kufanya kazi yake kisha ndio tufanye evaluation baada ya hukumu!

aha ha...hah, itakuwa too late kumsubiria. juwa kwamba akichambuliwa mapema maoni na ujumbe utamfikia tu..na hiyo inaweza kuwa na impact kwenye judgement yake. issue nyingi zinaanzia hapa JF ndio zinafuatia ktk media na kwengineko!
 
:msela:Hapo tusiwe na shaka na wote tunaimani na Jaji atatenda haki ila ntashangaa kesi ikichukua mda mwingi wakati vielelezo vipo mpaka Polisi wanalijua sijui watahitaji tena upelelezi, Mungu mkono wako ukaonekane sasa na hata milele!
 
Back
Top Bottom