Taarifa juu ya zawadi za washindi wa shindano la #ChinaMade (NEW)

Habari za muda ndugu WanaJF,

Kama ilivyotangazwa awali, kwamba zawadi za simu zitakuwa zimefika Ofisi za Jamii Media, Mikocheni-Dar, kufikia Jumatatu ya tarehe 11 July, 2016 na washindi watapewa maelekezo namna ya kufika na kukabidhiwa zawadi zao.

Tunathibitisha kwamba zawadi hizo zipo tayari na kilichobaki ilikuwa ni kuandaa utaratibu mzuri wa kuzikabidhi kwa washindi.

Kwa wale washindi ambao tumewasiliana PM; tungependa muzingatie maelekezo haya upya ili kuweza kuja kuchukua zawadi;

1. Tutumie PM namba yako ya simu unayotumia
2. Tutumie copy ya kitambulisho halali chenye jina lako halisi

Zingatia:

  • Utaulizwa jina lako halisi na litalinganishwa na lililopo kwenye kitambulisho,
  • Namba ya simu utakayotupatia itajaribiwa ili kuhakiki.
  • Haitokubalika kutuma mtu akuchukulie zawadi, ni lazima ufike mwenyewe.
  • Kama haupo Dar na umekosa nafasi ya kuja kuchukua, zawadi yako itahifadhiwa mpaka pale utakapokuwa tayari.
Kwa maelekezo zaidi, tafadhali mawasiliano yafanyike PM.

JamiiForums inatoa pongezi nyingi kwa washindi na asanteni kwa ushirikiano wenu.
 
Nawatumia sasa hivi,asanteni.
 
Mnakatisha tamaa,pia mna visa sana vyenu tu,kama nitakosa ruhusa kutoka kazini ndio nimekosa Zawadi?,toeni utaratibu wa kuwatuma watu,nina uhakika kwa ilivyo sasa kupata ruhusa hadi magu aondoke madarakani,na likizo mpaka baada ya miaka mitatu!!!,naomba mnifanyie favour kijana wangu aniletee
 
Lakin pia kuna EMS .
 
@JamiiForuma ZINGATIEBI HILI. Kwa muda mliouchukua ambapo ni tangu mwaka jana wa shindano. Mimi nitashamgaa sana kama hizo simu zitakuwa ni huawei za kitoto au za kawaida tu. Inabidi mjipinde mtoe simu za maana. Na naomba washindi walete mrejesho tujue simu gani mlizowapa.
,
 
Hapo sasa, shoga angu Nifah asije akatupa jamvi kwa tandiko la kuazima.
Asije tupa iPhone yake kwa Siemen kidole gumba juu toka Jf
 
Back
Top Bottom