Taarifa hizi za mauaji zinafichwa kwa manufaa ya nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa hizi za mauaji zinafichwa kwa manufaa ya nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kweleakwelea, Oct 24, 2011.

 1. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  Ndugu wanajamvi.

  juzi mjini dodoma katika jitongoji cha njendengwa kuna vurugu zilijitokeza wakati wananchi zaidi ya 2000 (nyumba)500 walipobomolewa nyumba zao na tinga tinga kumpisha mwekezaji....

  katika tafrani hilo ambapo polisi walichukuliwa nje ya mkoa (inasemekana morogoro) walipambana na raia wakazi wa pahala pale tangu uciku wa manane kukataa kubomolewa makazi yao......polisi wa dodoma walikuwa bize kujionyesha mtaani na yebo yebo zao kuwa hawahusiki....

  ilikuwa ni tafrani la mwaka, ambapo hata kwenye magazeti risasi za moto zilitumika, japo hazijaripoti waliouwawa....

  jumamosi hiyo mbaya nilikuwa mjini dodoma mishale ya saa 5 nilipopata taarifa kuwa teyari raia 6 na askari 3 wameishauwawa. hadi jioni nilipata taarifa kuwa ni watu 16 wamefariki....japo zinahitaji kuhakikiwa......

  it has been shame. baadhi ya masimulizi niliyoyapata toka kwa wakazi wa eneo hilo

  1. mama amepigwa risasi na polisi, kaanguka kifo, mtoto kapanick, kampiga jiwe polisi, polisi kamshoot mtoto to death, mtu katokea nyuma kampiga bisu polisi to death.............

  2. polisi kapigwa mshale kwa nyuma tokea chooni, kaanguka kafa.....

  3. baba kawakumbatia watoto wake ndani ya nyumba ili wafe pamoja, wakabomolewa na kuuwawa na tingatinga......

  4. kulikuwa na babu kilema mguu mmoja kagoma kutoka, wakampiga risasi mguu wa pili ulio mzima.....

  (inahitajika wanaharakati kama amnesty international na NGO nyengine kuja dodoma kupata taarifa halisi za tafrani hili linaloonekana kama la mchezo lakini ni massacre..)

  maswali magumu

  1. how comes habari hizi hazijasomwa hata kwenye gazeti moja? kumbe ni wengi wanaouliwa na taarifa zao kuishia hewani?

  2. kwa nini serekali isikiri kwamba kuna udhaifu katika kugawa viwanja hadi kuwalazimu watu kuhamia maeneo bado wazi? na hilo linapotokea, je inahitaji PhD ya sociology kukiri kosa na kumrealocate mwekezaji?

  3. je kwani mwekezaji alinunua eneo liwe mgodi kiasi hakuweza kuhama?

  4. je is it health KWA TAIFA kwa taarifa za mauaji katika kugombea ardhi kuwa EMBARGO?

  i
   
 2. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli basi ya basi watanzania hawana chao!
   
 3. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushahidi unahitajika katika hili.
   
 4. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  ndio maana tunawaalika wenye kazi zao wakakusanye takwimu hizi........hii ni synopse tu lakini ya uhakika.......WATANZANIA TUNAANGAMIA KWA KUPUUZIA MAMBO....
   
 5. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Walioko karibu watujuze ukweli wa hiyo habari.
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Hakuna ukweli wowote ndani yake ndio maana hata mageti hayatoa hiyo habari.
   
 7. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nchi hii imeshafikia pabaya sasa
   
 8. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,925
  Trophy Points: 280
  Watakuwa bado hawajachoshwa,wakichoshwa utajuwa tu,hakuna polisi wala risasi vitakavyoweza kuwazuia,na serikali ikizidisha msishangae NATO wakitoa msaada.
  Ni maoni tu.
   
 9. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280

  ndugu yangu mmoja alikuwa na kiwanja huko na alifika pale.....jirani na kiwanja chake kulikuwana nyumba na ndani ya nyumba kulikuwa na mama mjamzito...yule mama alitka nje na alipoona tinga ntina linakuja kubomoa nyumba yake alipaza sauti akasema basi na mimi mniue tu.....akarudi ndani ...tinga tinga likaja moja kwa moja likabomoa nyumba na yule mama akafia ndani ......

  hii nimeambiwa jana na jamaa yangu nae anashangaa kuona hakuna hatua yoyote wala taarifa yoyote iliyoandikwa na vyombo vya hbari wala hatua zozote kuchukuliwa
   
 10. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Tanzania kisiwa cha amani na mtu yeyote akitaka kujaribu kupoteza amani yetu hatutasita kuwachukulia hatua, kumbe hayo ni kwa ajili ya kuthibiti maandamano ya CDM tu pekee.
   
 11. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  mkuu sie tunaishi dodoma wewe unaishi wapi na ulikuwa wapi siku ya tukio? - hawa waliodhurika wengine wao wanaherbanate kwetu.....hatuna tu authority kisheria ya kuripoti....
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu mageti gani hayo hayajatoa habari
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Naona ccm wanamkakati wakutumaliza wananchi ili waweze kuuza rasilimali zetu
   
 14. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nasubiri mwanahalisi au raia mwema kwa habari za uchunguzi otherwise inabinitravel mwenyewe nikafanye utafiti.
   
 15. F

  Froida JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Magazeti radio vypte ni CCM wanafanyakazi kwa niaba ya serikali kama hawakuandika mahala popote wale walio uliwa Igunga hata yule ambaye msiba wake ulifanyiwa hapa Dar es Salaamu ujue CCM na serikali yake ni vyombo vya uuaji hawapishani na Gaddafi
   
 16. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #16
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Waandishi wa magazeti (wengi uchwara), wako Dar... Walioko mikoani wakijigusa wanapigwa supu ya 1500 wanaambiwa kaa kimya...
   
 17. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tunahijati kuchukua hatua hapa tukikaa kimya haya yataendelea na mwisho itakuwa civil war.
   
 18. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Ukweli ni kitu gani? Kikwete mwenyekiti wa Ccm kusema hamjui mmiliki wa dawans,wakati anakula nae bata na ndiye anaye mnunulia Suits?, Wewew mzee ni Gamba,nimeshafuatilia mabandiko yako hapa . Serikali ya Ccm usitegemee ikaweka hadharani mambo ya ukweli na uhalisia.
   
 19. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  mh hapo kwenye red cjakuelewa
   
 20. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Mkuu Charity inaanzia nyumbani.. Kama ulivoweza kuweka hii thread hapa, pia weka kwa social networks zote maarufu hapa nchini na nje, kila mmoja asome, mwisho wake wataona aibu watajibu tu. Ikiwezekana kwa kutumia kamera ya simu yako chukua video clips ukiwahoji wahanga baadhi then zipost youtube watanzania wengi ndani na nje wataona na dunia itaona pia.... Naamini tutafika mahali.

  Roho zao marehemu zipumzike kwa amani
   
Loading...