Zanzibar 2020 Taarifa hizi toka Visiwani Zanzibar zina ukweli?

Una uhakika hao ni wazazi wako? Kama wamekurithi? Kitetee unachokiamini.
Haijalishi awe wamkurithi au laa cha msingi ni yule unayemuona ana play his/ her big role kama mzazi aswa kukukimu kwa all basic needs and others kama mwanawe wa damu anatosha kuwa mzazi sio lazima awe biological.
 
Kwani lazima maalim awe Rais wa Zanzibar? Sheria ya kura ya mapema iko wazi suku nyingi,kwa nini haikupingwa.. Viongozi wa ACT damu ya watoto wetu itawahusu.. Zipo hotba ya maalim akihamasisha upigaji kura wa mapema kwa wafuasi wake(ni kosa kwa sheria ya uchaguzi Zanzibar).. ACT na TAL mnataka nchi isitawalike,jambo ambalo ni hatari kwetu sote
 
Mbona watu mnaongopa, hakuna kituo Cha mpiga kura kinacho funguliwa usiku vituo vyote kura Zina anza kupigwa saa 12 asubuhi.Alafu habari ya kwamba watu wako majumbani mwao wanaenndelea na shughulizao wapigwa risasi haiingii akilini.
 
Askari mmoja anapiga kura mara 6 au zaidi kwa Mwinyi halafu zinasambazwa kwenye vituo mbalimbali usiku huu.

Uchaguzi wa Zenji umeshaharibika.
Wewe ni lijinga kabisa. Daftari la wapiga kura ACT walipewa na linaonesha mpaka askari/na wengine waliojiandikisha kupiga kura. Je inawezekanaje kuzidi ilihali waliojiandikisha wanajulikana???????
 
Wewe ni lijinga kabisa. Daftari la wapiga kura ACT walipewa na linaonesha mpaka askari/na wengine waliojiandikisha kupiga kura. Je inawezekanaje kuzidi ilihali waliojiandikisha wanajulikana???????
Hasira na matusi yanini?
 
kwani hizo kura za awali hazina wasimamizi wa mawakala wa vyama mpaka ACT watilie mashaka??
ZEC msisababishe uvunjifu wa amani fuateni taratibu sheria na busara ili kuepusha msuguano usio wa lazima. sisi hatutaki kabisa kusika vurugu,
 
Askari mmoja anapiga kura mara 6 au zaidi kwa Mwinyi halafu zinasambazwa kwenye vituo mbalimbali usiku huu.

Uchaguzi wa Zenji umeshaharibika.
Humu JF wakati mwingine alo. Mie niko mjini magharibi mbona hakuna hizo habari
 
Back
Top Bottom