Hii taarifa hata mimi nahisi ni ya kughushi hasa ukiiangali vizuri hapo kwenye sahihi inaonekananimechotwa mahali na kuwekwa hapo hii tabia ya kughushi nyaraka za serikali ni hatari sana tena sana nadhani wahusika ifike mahali washuhulikiwe kikamilifuTaarifa hii siyo ya Ikulu
Imetengenezwa na wahalifu wa mtandao IPUUZWE!!View attachment 474359
Sawa mkuu, lakini ...wewe mkanushaji ni nani na umejuaje kuwa sio halisi! Najua hapa jf kuna taasisi kama TCRA, TPA, Startimes, NMB nk zina verified IDs hapa. Labda na wewe mkanushaji angelikuwa na ID pia ingetuondolea shaka.Taarifa hii siyo ya Ikulu
Imetengenezwa na wahalifu wa mtandao IPUUZWE!!View attachment 474359
Hatujafikia, TUMELETWADah Hii Ni Hatari Sana..Tumefika mahali ambapo sipo kwa kweli.
Weka na barua ya Ikulu inayokana hayo.
Lakini ujumbe unalingana kabisa na tabia za muhusika, mimi siwezi kukuamini mpaka muhusika mwenyewe akanushe