Taarifa: Dr Makongoro Mahanga kuzikwa makaburi ya Tabata Segerea tarehe 26 March saa 10 jioni

Nasikitika kusema watu wa aina yako ndio wanafanya sisi mwanaccm tuonekane chama cha wajinga.
Hivi mmetokea wapi? Mbona wakati wa JK na Kinana hamkuwepo na upuuzi wenu huu?
Na ajabu ni kuwa hamna hata mshipa wa aibu hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mbumbumbu kuliko watu wote duniani jibu hoja acha mapovu. Wewe huwezi kuwa CCM sana sana utakuwa mwanachama au mpiga debe wa Saccos ya Mbowe Chadema!
 
Wewe ni mbumbumbu kuliko watu wote duniani jibu hoja acha mapovu. Wewe huwezi kuwa CCM sana sana utakuwa mwanachama au mpiga debe wa Saccos ya Mbowe Chadema!
Ombi : Utoaji Mimba uruhusiwe ili kuwanusuru wazazi na aibu kama hii wanayoipata wazazi wa kijana huyu
 
Nilishangaa sana wakati Mh. Mbowe anaongea na waandishi wa habari siku tatu nne zilizopita alipoacha kuanza hotuba yake na huu msiba bali akakimbilia maswala ya mikutano na corona na mwisho kabisa ndiyo akaongerea msiba wa Dr. Mahanga just by the way na haikuwa kwenye ajenda zake ya mkutano wake na waandishi wa habari. Lakini nikajua tu Dr. Mahanga hatoki kuleee!!
Ngese
 
Back
Top Bottom