Taarifa dhidi ya uzushi unaosambaa mitandaoni kuhusu kampuni ya TTCL

Poleni sana...

Mshaoneshwa njia fanyeni kweli sasa...
Waamshwe tu hakuna namna
Wenzao walikuwa wanaitwa Mobitel jina zuri kabisa, walipoanza kujibandika majina ya kingonongono wakateka soko, waliwasoma watz
  1. Tigo aka back hole
  2. Jaza ujazwe
  3. Cha asubuhi
 
Nadhani TCRA, hilo tangazo la tigo "CHA ASUBUHI"wanatakiwa wali pige stop, tu, kwani kwa mtu mzima anajua tu ni nini, japo wao watajitetea vingine, lakini waambiwe tu ktk jamii yetu sio neno zuri basi!!Ndio maana sasa limezushwa hilo jingine!!

Kwani mchana au usiku kinakubali?
 
Kumekuwa na baadhi ya watu kupost picha ya Ttcl ikiwa na ujumbe unaosomeka TIA TUKUTIE.

View attachment 1829984

View attachment 1829985
Hata hivyo kuna ubaya gani wa kutumia hilo neno hata kama?

Lina tofauti gani na "Jaza ujazwe"?

Nyie makampuni ya mitandao ndiyo mmekuwa wa kwanza kunasibisha matusi na lugha za reja reja za mtaani kwenye kiswahili sanifu.

Hata lile tendo unalodhania limekuchafulia kwa kughushi tangazo la maandishi, je kiswahili chake sanifu huwa ni 'kutia' kweli?

Mnatumia nguvu kubwa na rasilimali nyingi kusahihisha jambo lisilo sahihi.
 
Wabongo bhana. Muda wote wanawaza ngono
Wanaopata cha asubuhi. Utawajua tu. Hiyo ni Tigo

Back
Top Bottom