Taarifa: Chama cha Mapinduzi ( CCM) Mkoa wa Arusha chanunua Gari jipya la kisasa kurahisisha utendaji kazi

Hi gari atakuwa anaendesha Nani?mi naona Kuna ulakini kwanini chama kisinge wekeza kwenye kamradi ambao ungetoa ajira kwa makada wa ccm,ovyooo kabisa
 
Kutoka kuzindua vile viwanda mlivyo tuhubiria, badala yake sasa mmeamua kuzindua Ma vi e ite!! Kweli CCM haina jipya.
 
Hilo gari hata hamtuoneshi plate number mmelifunika na vitambi vyenu bila sababu.
 
Ooh hooo!!! Yameshaiba tena!! Eeh Mungu watazame hawa watu kwa jicho kali,na uwashughulikie kama ikikupendeza! Amen
 
Nilikuwa naitaka hiii uzi sana waaache wavimbewe badae njaaa itawauma tu ucjr wanakijiji wenzangu wa viete
 
Ule ushamba na ulimbukeni wenu wa kusubiri kupokea ndege serikali nzima hamjauacha tu ? Sasa mmeuahamishia kwenye viieite ?
 
Back
Top Bottom