Taarifa binafsi ambazo unapaswa kuzilinda (Personal Data)

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,545
1631003071606.png

Taarifa binafsi ni taarifa zozote zinazohusiana na Mtu na ambazo zinaweza kumtambulisha Mmiliki wa taarifa hizo. Hizi ni taarifa ambazo Mtu anapaswa kuwa makini katika Matumizi yake ili kuepuka uwezekano wa kutumika vibaya

Taarifa hizi huusisha Majina, Anwani ya Nyumbani (location), Barua pepe (Email), Kitambulisho au Kadi ya Benki, Simu ya Mkononi hasa 'IMEI Number', taarifa za Matibabu, Vyeti vya Elimu na cha Kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom