Taarab yenye mashairi haya kaimba nani?, "nikifanya mimi mwapiga kelele, mkifanya nyinyi imekuwa gere, mnaota, mnaoota"

kufanakupona

JF-Expert Member
Jun 18, 2015
522
417
Nimegoogle sana bila mafanikio.
Msaada wakuu wa huu wimbo, napendaga beat na maghani yake.
"Leee leee, leee leee, leee leee, nikifanya mimi mwapiga kelele, mkifanya nyinyi imekuwa gere, mnaota, mnaoota"
 
Jinsia yako tafadhali...
Wabongo bhana!!, wanaishi kwa kukariri.
Katika nyimbo zote wa taarab, napenda wimbo mmoja tu, huu, kutokana na maghani na mirindimo yake. Ningekuwa naonyesha kupenda miondoko ya taarab yote kwa ujumla, hapo ndo' ungenitilia wasiwasi.
Mimi ni MWANAUME.
 
Mkuu hata kama unapenda nyimbo zote haina shida..mbona wapo wanaume tena wengi wanapenda blues na nyimbo zingine za kizungu ambazo ni za kimaudhui ya mapenzi..wabongo tunapenda sana kukariri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom