Taaluma ya ukahaba inatolewa nchini Hispania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taaluma ya ukahaba inatolewa nchini Hispania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KiuyaJibu, Oct 19, 2012.

 1. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 746
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Chuo cha kufundisha ukahaba kimeanzishwa huko nchini Hispania na gharama ya kusoma kozi hiyo ni euro 100.Kampuni inayohusika na kuanzisha kwa kozi hiyo imeshinda changamoto zote za kidini na kijamii kwa kutimiza taratibu zote za kisheria.Hata hivyo,kampuni hiyo ilipata wakati mgumu kwa kuwekewa vikwazo na taasisi za kidini;na hatimaye serikali ya Hispania iliridhia kwa kozi hiyo kuwepo,na kampuni imeahidi kufanya kozi hiyo kuwa salama kwa wahitimu.
  TAFAKARI NA CHUKUA HATUA.
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 30,206
  Likes Received: 32,796
  Trophy Points: 280
  Wema sepetu na wenzake waende wakapate taaluma hiyo.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
Loading...