Taa za Noah road tourer zinaingia ukungu unaosababisha nitumie full light wakati wa usiku.

King_Villa

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
575
379
Nimepata Noah hapa ila inaingia ukungu mweupe unaonilazimu Mimi kutumia full light wakati wa usiku ili niweze kuona vizuri.
Kuna mahali nilienda Lumumba wakazisafisha zikawa poa lakini baada ya muda ule ukungu ukarudi .
Ntafanyaje niweze kuondoa hili janga.
 
Mkuu Mara nyingine zipake dawa ya mswaki yenye fluoride nyingi kama white dent kisha iache kama dkk 10 kisha sugua na mswaki au brash kisha safisha na maji itakuwa mukide kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom