kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,733
Daaa! Mkuu nimekuvulia kofia! Imebidi nicheke kimyakimya!!Kwa mzinga huo lazima hiyo gari itakuwa hapo ostarybay
Next time jarbu kuficha details zako naona hapo ist inaonekana na namba umeanika hapo kwenye kioo