TAA internship

nacheka Kama mazuri vile Binafsi Niliwaza Sana hizi post nikasema hizi ngoja niache tu

Hizi kazi waSubiri majina tu ya watoto WA wajomba
Kama ilivyo kwa TBS

Sehem kama hizi Magufuli angetupia jicho tu, tunaharibu pesa zetu sisi wanyonge kutuma application posta kwa njia ya Ems kumbe wana watu wao.
 
Alafu ili kuficha uozo wao huwa hawatoi majina hadharani (kwenye website yao) ili watu wasione majina ya wajomba zao
 
Achana na mambo ya unyonge Magufuli mwenyewe kaajiri ndugu zake huko

Mwambie Mungu bahati ikudondokee tu au Upate Hizi taasisi ndogo ndogo upande
 
Alafu ili kuficha uozo wao huwa hawatoi majina hadharani (kwenye website yao) ili watu wasione majina ya wajomba zao
Haha majina unayakuta yanazunguka kwenye ma group tena yanakua sio big deal Maana wanakaa nayo hadi muache kufatilia
 
Kama tangazo hili nimeona mdau anasema waliweka ndani ya week 2 ukiona kimya ujue haupo kwenye list. Hii ni trick yao kubwa hawa wanaopeana hizi kazi,
 
Majina yatakuja kutoka mwezi WA 11 Mwishoni huko
Wanaitwa interview wakati watoto WA wajomba Kama ilivyo kawaida wapo tayari mwezi mmoja na nusu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom