The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 18,098
- 50,797
Mkuu,soma tena nilichokiandika,hilo sio jibu kama ulivyoliita,hilo ni swali ndio maana nikaweka question mark.Nilitarajia kuna mtu atatoa jibu kama hili!! Waswahili tuna shida mahali!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,soma tena nilichokiandika,hilo sio jibu kama ulivyoliita,hilo ni swali ndio maana nikaweka question mark.Nilitarajia kuna mtu atatoa jibu kama hili!! Waswahili tuna shida mahali!!
Kuna sehemu kuna shida ya usafiri kama mbezi Beach, tegeta, bunju?!Hamia Ukanda huu wa mbezi beach, Bunju ect
Mkuu,soma tena nilichokiandika,hilo sio jibu kama ulivyoliita,hilo ni swali ndio maana nikaweka question mark.
Wameenda kuoga, wakirudi utawaona.hao kunguni mbona hatuwaoni mkuu
😂😂😂😂DahWameenda kuoga, wakirudi utawaona.
gari zetu hazina kunguniKuna sehemu kuna shida ya usafiri kama mbezi Beach, tegeta, bunju?!
Panda basi kuanzia kariakoo au makumbusho/mwenge uone balaa lake! Mbagala na gongolamboto wamesingiziwa!
Samahani, waliporudi walisema kuwa waliwasindikiza wadogo zao chawa tusheni, nimewaambia unataka uwaone.Wameenda kuoga, wakirudi utawaona.