T734DPR Daladala inayofanya safari za Makumbusho-Gongo La Mboto likamatwe kwa uchafu uliokithiri. Kunguni na chawa wamo

Hamia Ukanda huu wa mbezi beach, Bunju ect
Kuna sehemu kuna shida ya usafiri kama mbezi Beach, tegeta, bunju?!

Panda basi kuanzia kariakoo au makumbusho/mwenge uone balaa lake! Mbagala na gongolamboto wamesingiziwa!
 
Mkuu,soma tena nilichokiandika,hilo sio jibu kama ulivyoliita,hilo ni swali ndio maana nikaweka question mark.

Ndiyo majibu ya WaTZ hayo mkuu!

Unamuuliza 'samahani parking za magari private hapa stand ya Mbezi ipo upande upi?'

Anakujibu 'kwani wewe ni mgeni hapa?' Wakati anajua stand ni mpya na watu ndiyo wanaanza kuijua na mabango ya parking za private cars hayajawekwa😀

So, ni yale yale tu braza! Hilo ni jibu umetoa ukijua wazi kuwa kunguni wanaletwa na watu!

Kifupi mwenye basi anapaswa kulihudumia basi lake kulinda wasafiri wasipate maambukizi mbalimbali wanapotumia usafiri huo. Kulisafisha kwa maji ya dawa, kupuliza dawa angalau mara moja kwa miezi mitatu!

Si mpaka pawe na mlipuko wa magonjwa ndipo tuwe na huo utaratibu!
 
Waonee huruma wenzako... Wana familia za kuwalisha.. ukiona hivo ujue hata bosu wao kachoka
 
Kuna sehemu kuna shida ya usafiri kama mbezi Beach, tegeta, bunju?!

Panda basi kuanzia kariakoo au makumbusho/mwenge uone balaa lake! Mbagala na gongolamboto wamesingiziwa!
gari zetu hazina kunguni
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom