Fulana ya Rose Mboma imenikera - kampeni kabla ya 2020!

WanaJf, Salaam!

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliweka tume huru ya uchaguzi kwa ajili ya kusimamia shughuli mbalimbali za uchaguzi nchini - Tume hii huru ya Uchaguzi ndiyo hutoa maagizo kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kuanza michakato ya ndani ya kupata wagombea kisha kampeni za uchaguzi huanza.

Rose Mboma, ambaye alionekana na T-shirt iliyoandikwa Nitamchagua Membe 2020 amekiuka si tu taratibu za uchaguzi bali amevunja katiba yetu kwa kuingilia mamlaka za vyama vya siasa na tume huru ya uchaguzi kwa kutangaza wagombea ambao hawajapitia kwenye vyama vya siasa.

Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mmoja ajitahidi kuwa mtulivu na kuepuka kuvunja katiba, sheria za uchaguzi na kanuni za vyama vya siasa.

Nawakia siku njema.

MK 2019
Tatizo haliko kwa Rose Mboma, tatizo ni la kwako kukerwa na mambo ya watu wengine yasiyokuhusu na ambayo umeamua kuyapa tafsiri yako kwa kufuata hisia zako zinakokutuma kisha kwa ujinga wako huo unaamua kutushirikisha na sisi....

Mtu anasema "NITAMCHAGUA MEMBE 2020", wewe unawaka na kukureka bila hata kujua atamchagua kwenye nini!!

Inakuhusu nini wewe hilo? Ya Rose Mboma na Membe waachie wao!!
 
Mtu anasema "NITAMCHAGUA MEMBE 2020", wewe unawaka na kukureka bila hata kujua atamchagua kwenye nini!!Inakuhusu nini wewe hilo? Ya Rose Mboma na Membe waachie wao!!

Raha pekee ya siasa na itikadi ni kujificha kwenye kichaka cha karanga!
Kwamba mtu unashindwa hata kuutafsiri wakati
 
Hakuna cha kichaka cha karanga wala nini.....

Unless utuambie kuwa unaowatetea wanaumwa ugonjwa wa "unknown fears" kiasi ambacho wanaogopa hata mtambao wa unyasi tu!+

Mnajiumiza bure, fanyeni kazi mnazopaswa kufanya.

Ya Rose na Membe yanawahusu nini??
 
Pumbavu kabisa. Nani kakwambia Tanzania kuna tume huru ya uchaguzi? Tume inayochaguliwa na mwenyekiti wa ccm ambaye ni mgombea kama walivyo wagombea wa vyama vyengine unasema ni huru? Watendaji wote wa tume ambao ni makada wa ccm waliowekwa maalum kukandamiza haki na uhuru wa wagombea wengine ndio indicator ya tume huru ya uchaguzi? Jaribu kutumia akili unapongelea mambo ya msingi kama hili.
 
WanaJf, Salaam!

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliweka tume huru ya uchaguzi kwa ajili ya kusimamia shughuli mbalimbali za uchaguzi nchini - Tume hii huru ya Uchaguzi ndiyo hutoa maagizo kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kuanza michakato ya ndani ya kupata wagombea kisha kampeni za uchaguzi huanza.

Rose Mboma, ambaye alionekana na T-shirt iliyoandikwa Nitamchagua Membe 2020 amekiuka si tu taratibu za uchaguzi bali amevunja katiba yetu kwa kuingilia mamlaka za vyama vya siasa na tume huru ya uchaguzi kwa kutangaza wagombea ambao hawajapitia kwenye vyama vya siasa.

Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mmoja ajitahidi kuwa mtulivu na kuepuka kuvunja katiba, sheria za uchaguzi na kanuni za vyama vya siasa.

Nawakia siku njema.

MK 2019
Mkuu nilijuaga unaakili kumbe Hola...sasa mtu akisema atamchagua membe 2020 inahusika vipi na kampeni za uchaguzi mkuu ?, kuna kumchagua kuwa mzee wa kanisa, awe danga lake, mwenyekiti wa Saccos....n.k...n.k mlivyo na roho mbaya mmemtaja hadi jina ili mkafanyie mnayoyaweza awamu hii badala ya kufanya mambo ya maendeleo
 
Mazombie! Hivi wenye akili walioko CDM ni wepi - kuruhusu watawala wa kimwinyi ndiyo ufahari wenu?
huyu ndo tegemeo lenu😂😂😂
1126645
 
WanaJf, Salaam!

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliweka tume huru ya uchaguzi kwa ajili ya kusimamia shughuli mbalimbali za uchaguzi nchini - Tume hii huru ya Uchaguzi ndiyo hutoa maagizo kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kuanza michakato ya ndani ya kupata wagombea kisha kampeni za uchaguzi huanza.

Rose Mboma, ambaye alionekana na T-shirt iliyoandikwa Nitamchagua Membe 2020 amekiuka si tu taratibu za uchaguzi bali amevunja katiba yetu kwa kuingilia mamlaka za vyama vya siasa na tume huru ya uchaguzi kwa kutangaza wagombea ambao hawajapitia kwenye vyama vya siasa.

Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mmoja ajitahidi kuwa mtulivu na kuepuka kuvunja katiba, sheria za uchaguzi na kanuni za vyama vya siasa.

Nawakia siku njema.

MK 2019
fala sana wewe.. amekwambia huyo membe we unamjuaa@#$&€$#🖕
 
acha wivu mtoto wakiume utakuja olewa
 
Kampeni hizi zikiendelea hatuwezi kufika salama - tuwe wavumilivu muda unafika na kila jambo litafanyika
 
Back
Top Bottom