T.I jembe langu you are lost | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

T.I jembe langu you are lost

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ney kush, May 18, 2012.

 1. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  baada ya JAY Z sasa T.I nae katika television ya MTV alipokua akihojiwa amehafikiana na bwana OBAMA NA JAY Z kuhusu NDOA ZA JINSIA MOJA
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Waacheni wasagane na kupakuana vya kopo, mimi kabla ya kutangaza kuwa fulani ni jembe langu lazima kujiridhisha na mienendeo yake katika kila sekta. Once nilikuwa nampenda sana Àndriy Schevchenko, siku niligundua ana mzungusho wa tatoo mkononi juu ya kiganja hamu yote kwake ikaniisha. Sasa hawa majembe wenu washakubaliana na uchoko ivo...
   
 3. S

  Starn JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Usiwalaumu hawa watu wapo kibishara zaidi, wakikataa hawatouza muziki, na huyo obama amekubali kwasababu anahitaj kura za machoko
   
Loading...