T.I.D-Sxually harassed in jail? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

T.I.D-Sxually harassed in jail?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Absolute, Oct 7, 2008.

 1. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2008
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tsup hommies;
  Nimeisoma hii shocking rumor post nikaona si vibaya nika-share na ndugu zangu wa JF.

  Here it is:

  Tanzanian singer TID is suggesting that he may have been sexually harassed in jail.

  According to reports by a Tanzanian press who visited him in prison last Sunday, TID who has be behind bars was in bad shape and looks nothing like former self.

  TID said "The strong can do anything they want to the weak. When I first got here, they said that I'm mummy's boy, that night they attacked me, beat me up and did things to me. You would think they had a grudge with me. They openly showed that they don't like me at. I was stunned; because they did to me that it's a shame to narrate."

  Lately the beatings have reduces since he got a protector one of the prisoners whom he sings to a night till he falls a sleep.

  TID said Life in prison is hard for those who are not used to it, "Those who live here are half-human, half animal, many have ruthless hearts."

  Jamani sio mie niloi-post, u can visit the source link Egoimagekenya » Rumor has it » Was TID bum busted in Jail?
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Oct 7, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Hiyo habari sidhani kama ina ukweli wowote tusitake kulishushia jeshi la magereza namna hiyo kule ndani kuna maadili
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  Nami nakataa siku hizi wanakuambia kama unaendekeza kula kula hasa vitu vizuri ndio utaolewa....na kufanyiwa ndivyo sivyo...ila kama uko gado hakuna lolote....wameshadhibiti sana sana vitendo hivyo....hakuna ila kwa wanaopenda wenyewe...........best yangu kabisa ametoka ukonga huko amekaa 3 yrs ameniambia...ana week 3 tu tangu atoke..
   
 4. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2008
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Even me nilikuwa more than shocked to view the post

  Nadhani TID aliwadanganya waandishi wa habari walomtembelea, na hata kama ni kweli alifanyiwa he should have kept quite, au aliwachukulia kama marafiki wa2nza siri hakujua wenzake wanaenda uza story(disclose).

  Mie nili2miwa sms ya hiyo souce link na girlfriend wangu wa Mombasa and really i got amazed...ikabidi nizime simu for two hours...
   
 5. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #5
  Oct 7, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kumbe kimombasa mombasa ? Mtu kama tid ni maarufu anaweza kushitaki hao watu wenye tabia hizo
   
 6. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sodomy is a huge crime.Kama hii habari ina ukweli wowote then TID should do something and that should take this matter to court na kuweka aibu pembeni maana its an insult to human dignity!
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Ujinga mtupu
  Hawezi kufanyiwa vitendo vile labda apende mwenyewe.
  Kuna maadili na kule kuna ushirikiano wa hali ya juu.
  Hakuna kulawitiana labda uwaalike mweyewe....

  Kaazi kwelikweli
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,118
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Alimwambia mwandisha gani wa gazeti lipi hizo habari? Au mambo ya blog hayo?
   
 9. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Jamani tusibishe for the sake of kubisha kuwa hivi vitendo havipo.Vipo sana na kwa kiwango cha kusikitisha.Inabidi uone ndio uamini.Moja ya malalamiko yanayotolewa mbele ya jaji au hakimu na watuhumiwa wanaotoka mahabusu kwenda kwenye kesi zao mahakamani ni hili la kulawitiwa au kufanyiwa vurugu wakiwa rumande.Na hii inatokana na MAMBO MENGI ikiwemo kutokuwepo na haki ya conjugal rights kwa wafungwa..na mtakumbuka hiki ni kitu kiko kwenye majadiliano.Vilevile nafasi za kulala humo ndani ni finyu sana... wanalala kwa kujipanga kama dagaa! Hivyo basi ni rahisi hasa kwa wale wanyonge kufanyiwa vitendo vibaya.
  Wafungwa au remandees wenye unafuu ni wanawake..japo na wao huwa abused na warders.Si ajabu kwa TID kufanyiwa vurungu hizo.
   
 10. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2008
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hii sasa balaaa.balaa tupu. duh. naomba awe gado, asije akajaribu kuwapa wenzie, manake ataenda jehanam ya moto wa milele kama ilivyokuwa sodoma na gomora.
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hayo mambo ya kale sizani kama mpaka sasa yapo?
   
 12. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  unaposema "mambo ya kale" sijui kale hapa unamaanisha nini Mkuu
  Jiulize hivi.. ni lini ulisikia magereza na rumande zimepanuliwa?
  Sote tunajua kuwa idadi ya " wahalifu" na watuhumiwa inaongezeka kila mara..hizi facilities zilivyojengwa population ya Watanzania ilikuwa haijafika hata 20 m. Leo tuko karibia 37 m!
  sasa jazia mwenyewe huko kuna hali gani.Kinachofanyika ni kuongeza vyumba vya VIP tena kwa baadhi ya magereza kama Ukonga... na pia kuboresha MIS katika magereza nyingi... ili ku-manage records za wafungwa.
  Tena bora hata TID ni mtu mzima..jiulize watoto ambao kwanza kisheria hawapaswi kuchanganywa na watu wazima - lakini kwa kukosekana facilities wanalundikwana watu wazima- wengine tena hardcore.... sijui kama unaipata hiyo picha.
   
 13. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,181
  Likes Received: 663
  Trophy Points: 280
  Jamani mie siamini! Huenda hata hao waandishi waliomtembelea wameongeza chumvi. Tusubiri T.I.D atakapotoka gerezani atatuelezea vizuri.
   
 14. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2008
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wewe, haya mambo bado yapo hadi leo hii, ndo maana watu wanasema gerezani noma, yaani ogopa gereza kuliko kitu chochote kila, ujanja wote huo ulionao ukienda gerezani, unakua uyoga. kule unatakiwa uwe umejifunza kong fu au karate, ndo utasavaivu. kuna watu wababe kishenzi. kuna watu kule wanaenda wanaume wakakamavu tu, lakini akishatoka tu unaona amekuwa haeleweiki,analegealegea tu. kumbe kule kuna watu wenye ukata wa karibia miaka saba hajawai kumwona mwanamke, wamejizira, na wanafanya hayo mambo. ni kitu ambacho kipo hadi kipindi fulani hivi walitaka wawe wanagawa condom na wapeleke elimu ya ukimwi magerezani, we unafikiri maaskari magereza ndo walikuwa wanafikiriwa watawaambukiwa wafungwa wanaonuka na wenye chawa?hapana, ni wafungwa kwa wafungwa.

  sasa Mwenyezi amsaidie yule jamaa, na wembamba wake ule, sijui kama ataiweza ile mijambazi ya segerea iliyoshindikana. kama kweli yalitaka kutokea hayo, ajilinde, kwani nasikia hiyo kitu, ukianzisha hata siku moja tu, mapepo mengi sana yanaingia mwilini, unakuwa kama jini na utapendaga hivyohivyo kila siku hautaacha hata ukitoka gerezani.

  hii imefanywa utafiti, watu walevi, yaani wale wanaokunywa sana pombe, karibia wote wamelawitiwa. wakilewa, huwa wanalawitiwa na watu. hii iko wazi, kawaulize mambaa medi watakwambia. sasa wakishazoezwa kufanywa hivyo wakati wako nzwiii, alo wanajikuta wanaendekeza bila kupenda, wanawashwa bila kupenda na kutafuta wanaume wenzao. OLE WENU ENYI WALEVI WA POMBE, manake sodoma na gomora iko mlangoni mwenu. tumeshuhudia walevi wengi tu hapa bongo wakifanywa vibaya, sasa ukishafanywa hata maramoja tu, si ndo umeshakuwa shoga mzee. ndo maana hapa bongo kuna mashoga kibao nasikia, na wengi wako disco na kwenya mabaa na madanguro.manake ndo walianzia huko.
   
 15. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nilivo sikia mimi hii ilipangwa kabla,wale waliomshitaki walituma watu jela na kupanga atakapo ingia tu apigwe na kufanyiwa vibaya kama kumkomoa.Ndugu zake wangekua makini na wangemtengenezea mazingira mazuri siku ile ya kwanza[read bribery]. Inasikitisha lakini ndio mambo yanavo fanyika bongo,ndugu yako akipelekwa jela nenda nae uwaweke maafande na nyapara wa chumba atakacholala sawa.
   
 16. M

  Midas Touch Member

  #16
  Oct 8, 2008
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 74
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Get him sexually harrassed. It comes back to him now because he harrassed Wema Sepetu sometimes ago and all the media in Tz proved that. In fact, hakujamiiana na huyo MISS TZ, lakini akatengeneza mazingira ya kumdhalilisha! Shame on him na MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI.
   
  Last edited: Oct 8, 2008
 17. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Hii nitairudia baadae
   
 18. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kama kweli kafanyiwa hivyo basi atumie sheria, hatuwezi kuwa na jumuiya inayoridhika na mambo ya kupanga, kama kweli kuna watu walikuwa wametangulizwa huko kwa ajili yake ambayo mie bado haijakaa vizuri na mimi hiyo then he should seek legal help regardless!
   
 19. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hili suala mbona wala sio siri. Jamaa mwenyewe mtaani alikuwa anatamba kivingine, si mnajua maana ya neno "Top" kwenye anga za mashoga? Zaidi bofya hapa: Global Publishers - Tanzania Newspapers
   
 20. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Maadili yapi.
   
Loading...