T.I ataja orodha ya marapa 50 bora

hiyo ni yake, inakuumiza nn kichwa? Nani aliyefanya utafiti ukapitishwa na wadau wote wa rap?
 
Fazaa izo ndo nazi'practice japo naona itachukua time kuzimanya ile yechu kabisa...Kuna Chalii wa Matejoo ndo master wa izo niaje.
Keep practicing

Mi hua napenda moves zao wanavyocheza na toes pamoja na spinning
 
The late great Eazy E na MC Ren wa NWA. Huwezi kuwataja Dr Dre na Ice Cube ukawaacha hawa wawili. Nate Dogg pia kama Drake naye ni rapper. Lord Jamar na Sadat X wa Brand Nubian. Hawa nao ni seriously underrated MCs in my opinion.
Kuwataja Brand Nubian umenikumbusha na BuckShot wa BLACKMOON.
 
Kizazi cha kina Big Small, Jay Z na rappers wengi kutoka East Coast; lyrically idol wao ni Slick Rick.

Anatajwa kama mtu mwenye influence kubwa kwenye namna ya kuandika mashairi East Coast na wengi wa kizazi cha kina BIG wameiga style yake halafu hayupo ata ndani ya top ten.
Biggie ameiga style ya Slick Rick? Style ipi mkuu.
 
1.yeye kama nani?

2.kwa mtazamo wake

3.duniani au amerika?

4.hamna kitu hapo
 
kama hajamjumuisha black thought wa the roots hiyo orodha yake yote ni takataka.
 
Ludacriss (The Last Of Dying Breed) alistahili kuwa kwenye Top 15
 
Na common katupwa nje? Hata pliers ni zaidi ya b boi na mwenzie...simuoni treach...yule jamaa wa onyx na wale jamaa waliimba ante it up na lost boys yote hasa mr chicks na freacky tah
Common na Pliers deserved a spot in the list, top thirty to be exact
 
Imagery writing style

Isitoshe ‘la di da d’is the most sampled rap song ever

“Ricky Ricky Ricky, can’t you see” can you tell where else you heard that similar line?

Sampling, extrapolation, interpolation etc. ni kawaida kwenye muziki.
Kumbuka, Biggie alikuwa haandiki.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom