T.I ataja orodha ya marapa 50 bora

T.I. weighs in on the Top 50 rappers debate.

What do you think of his rankings?

View attachment 1227378
Upuuzi mtupu. Kuna mtu anaitwa Hopsin sijamuona hapo na nilitegemea mkongwe kama T.I lazima atakuwa ana appreciate/respect uwezo wa huyu mshikaji maana kuna vitu fulani anavyo ambavyo hata 2pac hakuwa navyo. Ila naona hapo huyu mkorofi amejaza wehu wenzie wazee wa kujaza matusi nyimbo nzima. Kwanza J. Cole hakutakiwa kutoka ndani ya 5 bora.
 
Hii sasa ndo list siyo huo uharo wa TI
Hiyo pia imekaa ki wack, real rappers hapo ni wakutafuta ila mumble rappers wamejaa nyomi.

Hii picha imepostiwa jana na rich the kid kwenye ukurasa wake wa IG
 
Kizazi cha kina Big Small, Jay Z na rappers wengi kutoka East Coast; lyrically idol wao ni Slick Rick.

Anatajwa kama mtu mwenye influence kubwa kwenye namna ya kuandika mashairi East Coast na wengi wa kizazi cha kina BIG wameiga style yake halafu hayupo ata ndani ya top ten.
 
Duh mtoto wa kiume unatumia neno mfyuuuuuuuu!!

Duh aisee wanaume tunapungua wanabaki mapunga

Sikujua kama hiyo ndio maana yake,mi natumia tu,inaonekana kutatuliwa marinda ndiyo shughuli inayokuweka mjini hadi unajua watumiaji wa hilo neno ambalo kwangu mimi ni la kawaida tu
 
Out of topic
Mkuu Unapenda dance?? Eidha kwa kuangalia au kwa ku perfom mwenyewe
Yes Off course I do real love Dance..Nacheza sana pia na innovate stylez zangu mwenyewe chaliangu..Kwann umeuliza ivo?
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom