Kipis
JF-Expert Member
- Jul 23, 2011
- 492
- 61
Karibuni Vodacom
Hao voda nao wanaboa sana nina siku ya tatu leo tangu ninunue luku kwa M-PESA. Umeme sijapata na hela wameshalamba. Nawapigia huduma kwa wateja naambiwa simu yangu haiwezi kuungganishwa kwa mtoa ushauri labda nitume sms kwanda namba 100 nieleze shida yangu. Nimeshatuma sms mbili hazina majibu Tshs.12'000/= wamezilamba wangese kweli!